tatizo humu jukwaani tunajadiliana na watu ambao source yao ya habari ni ccn, abc, bbc na vyombo vya mlengo huo......Hapo mkuu umenena, Russia alitowa majeshi yake akizingatia makubaliano, ghafula waziri mkuu wa Uingereza akamshauli Zele ayatupilie mbali makubaliano, hicho ndicho kilitokea.
Wameruhusu halafu unasema hawawezi ku sign agreement,una kichwa chenye akili au umebeba parachichi shingoniWanaongea tu hawawezi ku sign hiyo agreement kwasbb wanajua madhara yake. Ni hatari kuliko hiyo vita ya Ukurain.
We jinga hujui, international military strategies za superpower wakifanya hivo na russia anauwezo wa kupiga militay camps zao kwa kutumia proxies wake, hiyo inakua vita ya dunia tayari nyie mkishiba makande unafikiri kila mtu anakula hizo mbegu nakua na akili za makande.Wameruhusu halafu unasema hawawezi ku sign agreement,una kichwa chenye akili au umebeba parachichi shingoni
Acha ujuaji wa kijinga wewe ndo unajua zaidi millitary strategies kuliko wao?wabongo kila kitu mnajifanya kujua wakati ni ujuaji wa kipuuzi tu.We jinga hujui, international military strategies za superpower wakifanya hivo na russia anauwezo wa kupiga militay camps zao kwa kutumia proxies wake, hiyo inakua vita ya dunia tayari nyie mkishiba makande unafikiri kila mtu anakula hizo mbegu nakua na akili za makande.
We jiulize mpaka leo kwanini hizo siraha hazitumike, nyie baki tu na ushabiki wa mpira ya Aimba na Ya nga mambo ya nje yanahitaji akili kdgo sio ushabiki tu.Acha ujuaji wa kijinga wewe ndo unajua zaidi millitary strategies kuliko wao?wabongo kila kitu mnajifanya kujua wakati ni ujuaji wa kipuuzi tu.
We umesoma vizuri habari imesemaje ?au umeamua tu kuibishiaWe jiulize mpaka leo kwanini hizo siraha hazitumike, nyie baki tu na ushabiki wa mpira ya Aimba na Ya nga mambo ya nje yanahitaji akili kdgo sio ushabiki tu.
Hivi zile 400 km sio full scale??Hehehe pole yako.
Russia akiamua kuingia Kiev hashindwi.
Japo ni kweli kuwa alifeli jaribio la kuikamata Kiev ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuikamata.
Russia akiamua kutumia Full millitary force hiyo Kiev inasalia mikononi mwake.
Zingatia neno Full force.
Trump anakubaliana na silaha kutumika ndani ya Urusi?Kwa akili zako unaona watamtoa Putin iyo miezi miwili?
Wamechelewa sana kuruhusu. Kama wangeruhusu toka mwanzo, na pale Moscow pakashindwa kukalika kwa amani, , pengine Putin angerudiwa na akili.Duh basi shambulizi lilikuwa kubwa sana. ila mi tangu mwanzo sikuelewa dhana nzima ya US na washirika kukataza silaha zao kutumika ndani ya Urusi
Full scale war unachagua na kubagua pa kupiga!?Hivi zile 400 km sio full scale??
Wanataka vitaSerikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
USA ndo ilivamia Ukraine ?Kwa sababu yeye ameshazeeka na amestaafu ndio anataka awaletee watu wa USA na Dunia vita ya Dunia?
Tutarajie nini kuanzia sasa Mkuu kwenye uwanja wa mapambano?Mleta huzi umeleta uzi kwa mahaba,
Hizo long range ni kwenye eneo la kursk tu, na kwa kisingizio cha uwepo wa north korea soldiers, ila kimsingi ni kutaka kuokoa askari wa West kwa kivuli cha mercenaries ambao wakewa trapped kwenye eneo hilo.
lengo la ukrain kufanya kursk offensive ilikuwa ku deter sumy offensive, sasa kufuatia report ya Urusi ku deploy askari takribani 50,000, West na Ukraini wanataka ku evacuate hao askari hapo kursk kabla hawajaisha aidha kwa mashambulizi, njaa, kuishiwa silaha, au kujisalimisha.
Wanataka kutumia long range missile kushambulia Oil, Ammo depot deployment point, artillery unit na drone operators chochote kinachoweza kuwapa urusi nafasi kushambulio askari wa Ukraine na Nato wakati wana retreat.
Sababu hao askari wanaitajika kwwnda kuimarisha defence line kwenye frontline nyingine ambako hali ni mbaya na wana ubaha wa askari wenye uzoefu.
Kwamba alishindwa lakini anawezaHehehe pole yako.
Russia akiamua kuingia Kiev hashindwi.
Japo ni kweli kuwa alifeli jaribio la kuikamata Kiev ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuikamata.
Russia akiamua kutumia Full millitary force hiyo Kiev inasalia mikononi mwake.
Zingatia neno Full force.
Mkuu swali lako umeuliza kama vile niko kwenye viunga vya moscow na na headquarter za five eyes, jokesTutarajie nini kuanzia sasa Mkuu kwenye uwanja wa mapambano?
Mimi na wewe nani anatumia hisia badala ya akili!?Kwamba alishindwa lakini anaweza
Embu rudia kusoma Tena
Urusi ilidharau Ukraine lakini kwa Sasa mataifa mengine wamegundua udhaifu wa Urusi si Kama ilivyokuwa inadhaniwa ni superpower
Kwamba aliamua kuwaua wanajeshi na hasara ya silaha nyingi vile huku akijua hatashinda ??
Punguza hisia tumia akili Urusi sio ile tulioaminishwa ni kituko kwakweli
Ametumia Hadi wanajeshi wa kukodisha wapi
Sasa amepewa kutoka NK bado tu
Na hawatoki Russia analijuwa hilo ndiyo sababu kwa mara ya kwanza S 400 katumia kuyangusha makombora matano na moja lilipata hitilafu baada ya kurushwa.Mkuu swali lako umeuliza kama vile niko kwenye viunga vya moscow na na headquarter za five eyes, jokes
Najua umeuliza sababu hizi shambulizi simekuja kama ambavyo nilihisi kwenye comment yangu.
Mkuu uwanja wa vita hakutarajiwi mabadiliko makubwa upande wa Ukraine, hii ni a last kick of a dying horse. Sababu
1. Permission imekuwa limited kwa eneo la kursk tu,
2.US bado amekaza kutumika kwa missile za France na UK
3.Germany bado hawajakubali kupeleka kwa Taurus missile, ambayo ndio hatari na range ndefu.
Kama nilivyosema, kwenye comment yangu ya asubuhi, essence ni kuokoa askari wa west kwa kivuli cha mercenaries kabla hawaja surrender maana logistic na supply route zote zimekatwa, na zilizopo zipo chini ya Artillary range za Urusi na drones surveillance, wakijaribu kutoka watakuwa ambushed ndio maana wanaitaji kushambulia hizo artillery na ammo depot ili kunusuru hao askari.
Pia Ukraine akiwatoa hao askari ambao wako kama hostage sumy itakuwa hatarini, na kutoka sumy kwenda kieve ni umbali wa takribani km 335. Hivyo sumy haitakiwi kuanguka hadi january 6, ikianguka maana yake kieve iko hatarini.
Ndio maana Ukraine na west walijua Kursk operation ni risk but hakukuwa na option nyingine
Kwa kukamilisha, hii ruhusa imebase kursk ambao lengo kuhakikisha wanapunguza kasi counter offensive Urusi huko kursk, ku disrupt offensive ya sumy na ku evacuate askari wa Nato na Ukraine.
Tutarajie exchange of missile kwa wiki hizi mbili. Hadi earlier december tutakuwa na majibu
Wakubwa kuna muda wanatunziana heshima kaka, wanaweza kuzungumza nyuma ya pazia kama yule General kule mariupolNa hawatoki Russia analijuwa hilo ndiyo sababu kwa mara ya kwanza S 400 katumia kuyangusha makombora matano na moja lilipata hitilafu baada ya kurushwa.
Kwan lile jimbo Urusi karudisha?Hakuna chochote kitakacho badilika kwenye uwanja wa vita.
Kwani ndege za F 15 ambazo Zere alikuwa anaziomba kila siku zilipo pelekwa zimebadilisha nn?