Kwani UEFA,hao mashabiki huwa wanakwenda kuangalia uwanjani?!!haya ni mazingira tofauti, mtu anaishi bunju mechi imalizike saa 6, na miundo mbinu yetu ya usafiri inajulikana, atafika saa ngapi?japo simba sii waliopanga ratiba hiyo lakini sio muda rafiki kwetu.