Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

Watu Wana angalia Uefa saa 5 usiku mechi inaisha saa 7 na kesho yake Wana amkia mzigoni vizuri tu. Sasa saa 4 hiyo???[emoji848]
Kwani UEFA,hao mashabiki huwa wanakwenda kuangalia uwanjani?!!haya ni mazingira tofauti, mtu anaishi bunju mechi imalizike saa 6, na miundo mbinu yetu ya usafiri inajulikana, atafika saa ngapi?japo simba sii waliopanga ratiba hiyo lakini sio muda rafiki kwetu.
 
Back
Top Bottom