Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Najua Mtani we unawaogopa wale wezi wa Keko. Hivyo we mechi ndo ishakupita.𤣠Sawa mtani
Sababu wale jamaa huwa wanakwapua kama vyakwao yaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua Mtani we unawaogopa wale wezi wa Keko. Hivyo we mechi ndo ishakupita.𤣠Sawa mtani
Kwani UEFA,hao mashabiki huwa wanakwenda kuangalia uwanjani?!!haya ni mazingira tofauti, mtu anaishi bunju mechi imalizike saa 6, na miundo mbinu yetu ya usafiri inajulikana, atafika saa ngapi?japo simba sii waliopanga ratiba hiyo lakini sio muda rafiki kwetu.Watu Wana angalia Uefa saa 5 usiku mechi inaisha saa 7 na kesho yake Wana amkia mzigoni vizuri tu. Sasa saa 4 hiyo???[emoji848]