Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
- Thread starter
-
- #161
Tena hiyo jackpot utapunwa hizo buku mbili mbili ukija shituka umezeekaYule mwana aliyepiga mil.500 sport pesa akiona unaharisha humu anaweza kukuchapa na manati ya mzungu
Kama we umechemka wacha sie tuendelee
Hiyo ndogo mbona, hiyo 4.9mil niliwahi mpa Chelsea ushindi akicheza na Watford wakatoa Draw dakika ya 93Duh mkuu unamuwekea muhindi hadi 250,000/=? Jamani watu mna hela hadi naona wivu?[emoji848] hongera kwa kupata 10mil
Hii ni biashara kama zingine, wanao umia ni wale waaoweka mtaji mdogo wakitegemea kupata zaidi... Mf mtu anaweka 500 apate 1milWakuu kutokana na mafanikio na hasara mlizopata kupitia hiyo Betting je would you recommend wengine ambao hawaijui kujaribu bahati zao ama tusiingie kabisa huko? Hizo wins zinatamanisha ila pia hivo vipigo mmh[emoji848]
The House Always WinAisee sasa mbona watu hawaachi tu! Mkuu ukicompare ushindi na vipigo je mhindi kakupa hasara ama wewe umempa hasara yeye?
AiseeeYaani mnaoingia kwenye betting,forex na gambling games zozote.... wakati shuleni mlifeli hesabu za probability, differentiation na integration wala statistics...mnajitafutia kifo.
Sasa hapo nani mjinga anaeweka 1m analiwa yote au an aeweka 500 kujifurahishaHii ni biashara kama zingine, wanao umia ni wale waaoweka mtaji mdogo wakitegemea kupata zaidi... Mf mtu anaweka 500 apate 1mil
Maisha yote ni kamari.Ahsante mkuu! Wala sitojaribu
Wewe ambaye hu bet hivyo vitu vingi vya ghetto umeshanunua?Hizo hela za betting ungeamua kununua vitu vya geto, ungekuwa mbali sana.
Kamari haiwezi kukutoa kimaisha. Vijana wengi mnadanganyana sana vijiweni.
Fanya kazi na Mungu ataibariki kazi ya mikono yako
Betting inaamisha pesa kutoka kwa masikini kwenda kwa masonko
Jana kwa mfano unashindwaje kuweka tot win, barca win juve win na arsenal uweke 5000 upige 20,000. Mimi niliweka 1000 nikapiga 8000, naridhika na nafurahia mchezo sasa kama wew umefanya ni ajira shauri yako, acha tu.
Hayo ni maisha tu, Cha ajabu wewe hubet lkn hakuna chochote ulichowekeza, ni sawa na yule mpita njia aliyemshauri mvuta sigara aache kuvuta unajua nn kilitokea? FuatiliaTena hiyo jackpot utapunwa hizo buku mbili mbili ukija shituka umezeeka
Mtu anayeuza nyumba na vitu vya ndani vya muhimu ili abeti huyo ni mpumbavu.Mkuu Hujaingia Deep naongea Kutoka Experience......!! Nimeshuhudia Mjeshi wa Nyota Tatu akiuza Friji na Kitanda Ili akacheze Kamari... Nimeshuhudia Watu wazima na Familia zao wakicheza Mshahara Wote Familia zinalala Njaa... Aisee acha Tuu.... Hili Ni Janga Kubwa kuliko Unga... Ni vile athari zake hazionekani kwa Haraka maana Mtu anagugumia Maumivu ndanikwa Ndani... Tafuta Documentary Moja Ya BBC Wameonesha Athari za Hi kitu nadhani ilikuwa Uganda... Watu wameuza Hadi Nyumba Na Wameishia Kujiua....
Kama Haushiriki Mshukuru Sana Muumba wako na Pia Jiweke Mbali kabisa Na KAMWE USIJARIBU.....!!!
Hayo ni maisha tu, Cha ajabu wewe hubet lkn hakuna chochote ulichowekeza, ni sawa na yule mpita njia aliyemshauri mvuta sigara aache kuvuta unajua nn kilitokea? Fuatilia
.
Nawewe endelea kutunza hiyo hela yako uje ununue gari la kifahariWazo zuri ndugu endelea kufuma mikeka especially hiyo jackpot, uwezekano wa kuwa millionaire ni mkubwa
Achana na kitu inaitwa addiction...Kuna mhindi mwaka wa tano huu anavaa t-shirt moja, kisa kubetMtu anayeuza nyumba na vitu vya ndani vya muhimu ili abeti huyo ni mpumbavu.
Hao ni binadamu wenye psychology displine ndogo.Achana na kitu inaitwa addiction...Kuna mhindi mwaka wa tano huu anavaa t-shirt moja, kisa kubet
Nmeliwa 300k jana ila cjawahi fikiria kuacha betting mwaka wa saba huu npo kwenye game
Sawa ila kamari zingine ziko so direct hamna kujitetea, weka pesa upigwe 100% dah🤔Maisha yote ni kamari.
Unasoma ukitegemea kutoka kimaisha ila mambo yanakuwa tofauti