Nani aliyetengeneza Jua?Kwa nini huyo Mungu aiadhibu nafsi yangu wakati alikuwa na uwezo wa kuniumba niwe na nafsi isiyofanya mabaya?
Jua halikutengenezwa na Mungu.
Ni wewe tu unafosi kwamba jua lilitengenezwa na Mungu.
Unafanya Logical non sequitur fallacy.
Hakuna Jehanam.
Hakuna Mungu.
Is God something or nothing?Something cannot come from nothing but if God came from something He is not to be worshipped
Between God and heaven which came first into existence?In a place called heaven
Hakuna.Nani aliyetengeneza Jua?
based on the belief that God is a being that doesn't have a beginning and doesn't depend on anything else for existenceIs God something or nothing?
If he is something, then he cannot come from nothing as you said.
Therefore he is nothing.
God came into existence then he created heaven which is populated with angelsBetween God and heaven which came first into existence?
God created heaven I hope you learnt the order of creation..did you?If there was a place called heaven before the existence of God, Who created it?
Nikupe namba ya Mzee umuulize kwanini aliniita hivyo?hopelesssinner maana yake ni mtenda dhambi aliyepoteza tumaini
Kwanini ujiite mtenda dhambi? Dhambi ni nini na hatma yake ni ipi?
Hivi hii doctrine ya uwepo wa mungu na dini huwa inawakaa akilini kweli? Hamjui kuwa ni watu tu waliunda kujenga sense and ,meaning in life?Timeless: God is not limited by time kama sisis binadamu
based on the belief that God is a being that doesn't have a beginning and doesn't depend on anything else for existence
"God came into existence" Akitokea wapi?God came into existence
You are completely entitled to your religious beliefs that are not supported by evidences.then he created heaven which is populated with angels
God created heaven I hope you learnt the order of creation..did you?
If God is omnipresent and we were created by his image and likeness, Why are we not omnipresent like him?Ni KANISA & NYUMBA YA WATAWA NA BIBLIA KADHAA ndivyo vilisalimika Kwenye janga la Moto Huko Marekani.
WE'RE GOD'S PRODUCTS.
HE'S OMNIPOTENT & OMNIPRESENT.
SISI SI KITU PASIPO YEYE.
Kwahiyo wewe uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo Kwa kuamini aliyeandika hiyo theoryHakuna.
Jua halikutengenezwa.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetengenezwa, Hata mtengenezaji wa kila kitu lazima awe ametengenezwa.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo kutengenezwa.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimetengenezwa, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things havija tengenezwa.
Na wewe muulize huyo aliyeandika Quran kwamba huyo Allah alizuka tu?Kwahiyo wewe uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapo Kwa kuamini aliyeandika hiyo theory
Kwahiyo aliyeandika hiyo theory ana akili kuliko wewe?
Sasa muulize huyo aliyekudanganya na huyo theory yake
Kama Jua limezuka tu Kwa Nini hayazuki majua mengine?
Imani ya kwamba binaadamu ana zaliwa duniani akiwa mwenye dhambi kidogo inaweza kuwa potofu. Kila mtu amepewa jaaliwa uhuru wa kufikiri na kutenda jambo lolote analojisikia. Usiamini kwamba mahangaiko ya dunia ni adhabu kwa wanadamu kwasababu ya maovu wanayotenda. Je Una amini kwamba ushirikina upo?. Kuna uwezekano wowote Kwa ushirikina kuwepo na Mungu kutokuwepo?Kwanini Mungu hamuui Shetani ?
Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?
Huyo Mungu ana akili kweli ?
Acha kumtisha, unaweza jikuta unakipata wew usiekiomba kabla ya mwombajiSawa, shikilia msimamo wako. Unachotafuta utakipata.
Sawa,kwa mtazamo wako huo huo,binadamu wa kwanza alitokeaje au alitokea wapi?Unaelewa ulichoandika au kichwani Kuna kopo unauliza Mimi nimetokanaje si nimezaliwa tumboni Kwa mama yangu
Binadamu Alitokea Kwa binadamuSawa,kwa mtazamo wako huo huo,binadamu wa kwanza alitokeaje au alitokea wapi?
Hivi hii doctrine ya uwepo wa mungu na dini huwa inawakaa akilini kweli? Hamjui kuwa ni watu tu waliunda kujenga sense and ,meaning in life?
Ni bora mtu uamini mizimu ya mababu kuliko dini, it's pure manipulatio
If God is omnipresent and we were created by his image and likeness, Why are we not omnipresent like him?
If God is omnipotent, Why did he fail to create the world without evils?
Kwahiyo π , , , Ulipokaa kwenye Mafundisho ya Biblia, Uliami Kila ulichofundishwa na wale Wachungaji wajinga waliokaririshwa wa School π π πIf God is omnipresent and we were created by his image and likeness, Why are we not omnipresent like him?
If God is omnipotent, Why did he fail to create the world without evils?
Sasa hapo umejibu nini,!!, We na wenzako hamna hoja yoyote.Binadamu Alitokea Kwa binadamu
Wewe umedandia conversations njiani hata huelewi nililenga nini kuuliza hilo swali.Kwahiyo π , , , Ulipokaa kwenye Mafundisho ya Biblia, Uliami Kila ulichofundishwa na wale Wachungaji wajinga waliokaririshwa wa School π π π
. . . . Let's me help you infropreneur na washamba wengine Kama weweπ€£
WEWE HAUKUUMBWA KWA SURA NA MFANO WA MUNGU.
WEWE ULIZALIWA TU.
KUTOKA KWENYE UDONGO, MUNGU ALIMUUMBA ADAM TU.
. . . .Eva ni Matokeo ya Adam, hata Yeye hakuumbwa Kwa udongo.
Hakuwa na Sura Wala mfano wa Mungu.
You can't shake my faithHivi hii doctrine ya uwepo wa mungu na dini huwa inawakaa akilini kweli? Hamjui kuwa ni watu tu waliunda kujenga sense and ,meaning in life?
Ni bora mtu uamini mizimu ya mababu kuliko dini, it's pure manipulation