Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli


Haya poa 😂😂
 
Unachekesha sana Mtumishi.
Karibu uokoke ndugu. namwona Mungu isivyo kawaida katika ukuu kila siku yaani ananishangaza sana. Alafu anavyobariki, anavyoponya na kufungua watu nabaki kinywa wazi.
 
Haujajibu swali bado

Hizo theory zako ulizonukuu zinasema sio Kila kitu lazima kiwe na muumbaji kwahiyo hata Jua pia halina muumbaji it's means limezuka

Sasa swali langu Kwa Nini hayazuki majua mengine badala yake lipo hilo hilo Kwa mamilioni ya miaka?

Au genius wako aliyekuandikia hizo theory amekuwa bubu katika hili?
 
Koo ww huoni signs za Uwepo wa Mungu sio ?
 
Karibu uokoke ndugu. namwona Mungu isivyo kawaida katika ukuu kila siku yaani ananishangaza sana. Alafu anavyobariki, anavyoponya na kufungua watu nabaki kinywa wazi.
Afu uko serious kabisa!
 
Huwezi kuthibitisha kitu chochote duniani isipokuwa huwa tunaangalia what is plausible. Did the universe come from nothing or it came from something? Tukiangalia ontological argument, cosmological argument na intelligent design argument ni kwamba the evidence points to a designer na huyo designer by default anakuwa timeless, spaceless, immaterial, intelligent na personal kwa sababu time, space na material zina mwanzo. Kabla ya kuja kuuliza hayo maswali hebu kasome hizo hoja Kwa umakini utagundua maswali hayo yalishajibiwa miaka mingi Sana iliyo pita.
 
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?

Kama huyo Mungu hajawahi kuonekana, ilijulikanaje kwamba yupo?

Au unafosi imani zako ulizo aminishwa na kupumbazwa na dini yako?
 
Haujajibu swali bado

Hizo theory zako ulizonukuu zinasema sio Kila kitu lazima kiwe na muumbaji kwahiyo hata Jua pia halina muumbaji it's means limezuka
Na hizo hadithi zako za Quran zinasema kwamba Mungu hana muumbaji, it means alizuka tu?

Jua halijazuka.

Jua limekuwepo milele.
Sasa swali langu Kwa Nini hayazuki majua mengine badala yake lipo hilo hilo Kwa mamilioni ya miaka?
Kwa sababu Jua ☀️ ni mmoja tu.

Lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo milele yote.
Au genius wako aliyekuandikia hizo theory amekuwa bubu katika hili?
Huyo aliyekuandika hizo hadithi za Quran amekuwa bubu kukwambia huyo Mungu aliumbwa na nani pia?

Huyo aliyekuandika hadithi za Quran Anataka kufosi tu jua liwe na muumbaji, Halafu kashindwa kuelezea muumbaji wa huyo Mungu ni nani?
 
Koo ww huoni signs za Uwepo wa Mungu sio ?
Mungu ni dhana uchwara tu.

Mungu ni dhana uchwara iliyotungwa na watu tu.

Mungu ni imaginations just an illusion.

Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika tu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Sorry ........ I believe in God and not religion
Hapo imekaeje
If you believe in God, why do you cling on biblical teachings? Of which the God you believe is tied to?
Hiyo tayari ni dini. Au fafanua huyo mungu wako unaemaamini unamfahamu vipi?
 
"He(God) has created man from Nutfah (mixed drops of male and female sexual discharge), then behold, this same (man) becomes an open opponent." 16:4 Qur'an
 
Asilimia kubwa ya vijana tumevulugwa, Yani kitendo Cha kumiliki simu janja tayari shetani na Mungu umewaondoa
 
Cosmological arguments ni hoja zilizojaribu ku assume kuna Mungu kwa kupitia mifano ya mazingira. Hazithibitishi uwepo wa Mungu.

Hoja za ontolojia, kosmolojia na hiyo ya intelligent design ni assumptions tu. Sio uthibitisho wa uhakika wa uwepo wa Mungu.

Kutumia mifano ya mazingira na viumbe kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
 
Mkuu ni watanzania wachache wanao fikiri kwa kina kiasi hiki. Tuendelee kutafiti.
 
🤣 🤣 🤣
 
Mkuu kina hiki cha fikra ni kirefu mno kwa mtu asiye huru kifikra. Tiririka taratibu kama vile kwa mtoto.
 
Mkuu hatua kwa hatua utaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…