dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Nawe unaamini mtu aliyejificha nyuma ya keyboard ya jamiiforums.Atheism inakuwa kwa kasi sana nchini, why?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe unaamini mtu aliyejificha nyuma ya keyboard ya jamiiforums.Atheism inakuwa kwa kasi sana nchini, why?
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba Unaishi? Hebu thibitisha Kwamba unaishi, tuanzie hapo kwanzaMadai ya uwepo wa Mungu yametoka na yalianzia kwenu ninyi watu wa dini na imani.
Ninyi waamini Mungu ndio mnadai na kuamini kuna Mungu. Hivyo hivyo mnaamini na kudai kuna Shetani.
Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na shetani. Mnaodai wapo.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya kusema kwamba kuna Mungu, Ina maana kwamba madai yenu ni ya uongo.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Mkuu sio kweli kwamba hili lipo nje ya uwezo wako, ila una hofu ya kuuvuka ukata wa fikra huru (kukufuru) .That's beyond my understanding siwezi kujibu
🤣 🤣 🤣Mungu akusamehe... I don't blame you but I blame the soul in you speaking
Kila mwanadamu kuna vitu ambavyo hataki afanyiwe kwaku apply common sense tu. Wala huitaji standards.Nimeuliza hili swali naona sijibiwi na wenye hoja kama zako, hivi kubaka watoto wadogo ni kosa? Kama ni kosa ni Kwa mujibu wa standards za Nani?
Sasa kama siishi, Ningewezaje kukujibu hapa?Wewe unaweza kuthibitisha kwamba Unaishi? Hebu thibitisha Kwamba unaishi, tuanzie hapo kwanza
Ndo ukata unavukwaje?Mkuu sio kweli kwamba hili lipo nje ya uwezo wako, ila una hofu ya kuuvuka ukata wa fikra huru (kukufuru) .
Haziwezi kuwa valid.
Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
Kama unaona hizo ni mere assumptions na siyo reasonable explanation to why there is something instead of nothing and from that it logically follows kwamba kuna intelligent designer behind all that, basi tuambie wewe explanation yako ya kwa nini hivi vitu vipo ulimweguni ni ipi? By the way unaweza kuthibitisha Kwamba Mungu hayupo if so, how?Haziwezi kuwa valid.
Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
Ukisema na kudai kitu kipo, Jukumu la kuthibitisha lipo kwako. Maana madai ni ya kwako. Hivyo uthibitisho unatakiwa utoke kwako pia.
Ukidai Mungu yupo, thibitisha madai yako, Kwaku prove uwepo wa huyo Mungu.
Ukishindwa ku prove madai yako ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yako ni ya uongo.
Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
🤣 🤣 🤣Atheists 24:7 Mpumbavu mfia dini amesema moyoni, Kuna Mungu; Wanaamini vitu bila uthibitisho na kutetea imani zao uchwara. Hakuna afikiriaye kwa utimamu.
Hakuna mungu,wala shetani,dini biasha za watuNgoja wasabatho watoke kanisani wakushambulie
Mkuu taratibu naona unatunga msahafu wa wafikira huru.Atheists 15:8, Amkeni enyi mliopumbazwa na imani uchwara. Fungueni bongo zenu na msiaminishwe na kupumbazwa vitu bila kuhoji.
wewe ulijuaje hakuna mungu?Ushanizoom eeh?
Mkuu mimi naogopa sana watu kujua hakuna Mungu bila ya kuwa na elimu sahihi.
Una uhakka gani kama Mimi sioti kwamba najibizana na wewe sasa hivi? Au labda nimechanganyikiwa Kwa hiyo naona kama Niko jamiiforums kumbe ni mawazo yangu tu Ila siyo kwamba wewe uko haiSasa kama siishi, Ningewezaje kukujibu hapa?
Si ningekuwa huko futi sita kaburini?
Naishi. Ndio maana tunafanya mahojiano hapa JF.
ulijuaje hakuna mungu wala shetaniHakuna mungu,wala shetani,dini biasha za watu
kiumbe kilichomtangulia chanzo chake ni kuingiliwa kimwili hatimaye kikapata ujauzito...Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.
Tena Mkuu, cha ajabu kwa kurejea kitabu cha Ayubu, shetani ni mshikaji kabisa wa Mungu, wanapiga stori namna ya kumsulubu Ayubu baba wa watu kisa tu ni kashika imani!!!Kwanini Mungu hamuui Shetani ?
Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?
Huyo Mungu ana akili kweli ?
Ili kiumbe kipya kitokee, Lazima kuwepo viumbe viwili, female na male.K
kiumbe kilichomtangulia chanzo chake ni kuingiliwa kimwili hatimaye kikapata ujauzito...
Hakuna kiumbe kimoja kilicho anzisha viumbe wote.Unakwama wapi kubaini kiumbe kilichozindua hayo yote hatimaye kukawepo vizazi na vizazi?
nadharia au sio poaa 😃Mungu ni dhana uchwara tu.
Mungu ni dhana uchwara iliyotungwa na watu tu.
Mungu ni imaginations just an illusion.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika tu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.