Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Una uhakka gani kama Mimi sioti kwamba najibizana na wewe sasa hivi? Au labda nimechanganyikiwa Kwa hiyo naona kama Niko jamiiforums kumbe ni mawazo yangu tu Ila siyo kwamba wewe uko hai
Sasa kama kweli unaota, umewezaje kuandika kwa usahihi na utimamu?

Na pia umeweza kupress hicho kidude cha blue kilicho andikwa "post reply"?

Kama umechanganyikiwa, Mbona Hujachanganya kum quote mtu mwingine tofauti na mimi?

Mbona umeni quote exactly mimi infropreneur ukijua kwa hakika ndio mimi tunaye jibizana?

Mbona huja quote JF member mwingine let say Maxence melo kwa kuchanganya kwamba ni infropreneur?
 
Yawezekana naota, Ila siyo kwamba na reply Meseji zako. Ndio maana nakwambia siyo kwamba nakujibu hapa JF bali tukio lote linalo endelea sasa hivi ni ndoto(njozi) Thibitisha wewe unaishi na hii si ndoto
 
Ili kiumbe kipya kitokee, Lazima kuwepo viumbe viwili, female na male.
Hivyo viumbe vinavyosababisha kiumbe kipya kitokee yenyewe vilitokea kwa kusababishwa na nini?

Usije sema hata yai lilijitaga na kijiatamia ndipo ndege wa kwanza duniani akatokea.

Acha uzoba ndugu viumbe vyote viliumbwa na Mungu na wala havikutokea tu na kuanza kuzaana.
 
Huyo Mungu aliumbwa na nani?

Huyo Mungu kabla ya kuumba mbingu na ulimwengu alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kuliumbwa na nani?
 
Yawezekana naota, Ila siyo kwamba na reply Meseji zako. Ndio maana nakwambia siyo kwamba nakujibu hapa JF bali tukio lote linalo endelea sasa hivi ni ndoto(njozi) Thibitisha wewe unaishi na hii si ndoto
Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.

You have hallucinations, You need mental rehabilitation therapy.
 
Huyo Mungu aliumbwa na nani?

Huyo Mungu kabla ya kuumba mbingu na ulimwengu alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kuliumbwa na nani?
Jibu kwanza swali la yai kujitaga ama kutagwa then uulize hilo swali la aliko tokea Mungu...

Majibu kuhusu alikotokea Mungu utapewa na wadau hapa....

Haya twende hatua kwa hatua....

Yai lililo leta ndege wa kwanza kabisa lilitoka wapi?
 
wewe ulijuaje hakuna mungu?

Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (Allah, Jehovah etc).

Nimeanzia kujua hayupo kwa kutumia proof by contradiction ya Epicurean paradox na the problem of evil.

Hususan kama ilivyoandikwa katika "Philosophy of Religion : An Anthology".

Part IV, The Problem of Evil, page 276.

Attached.
 
Attachments

Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Hujagundua lolote bali umeingia chaka. Kuna mfano mmoja uliwahi kutolewa kuhusu Daktari aliyekuwa anafanya tathmini ya wagonjwa wa akili. Basi akachora mlango ubaoni akawaambia wagonjwa wake wakapite hapo mlangoni (Akiwa anapima progress yao baada ya kupatiwa dawa). Mmoja hakwenda na daktari akadhani pengine huyo kaanza kupona. Akamwuliza mbona wewe hukwenda kugombea kupita mlango uliochorwa ubaoni? Akajibu hao hawawezi kupita hapo maana mimi ndiye mwenye ufunguo. Basi kwa hoja yako hii nakufananisha na huyo kichaa.
 
Kwa kuanzia, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (Allah, Jehovah etc).

Nimeanzia kujua hayupo kwa kutumia proof by contradiction ya Epicurean paradox na the problem of evil.

Hususan kama ilivyoandikwa katika "Philosophy of Religion : An Anthology".

Part IV, The Problem of Evil, page 276.

Attached.
kaka unatumia nguvu kubwa sana kusoma script za maigizo ya watu.

nimeziita script kwasabb ni mambo ya kutungwa tu
 
Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.

You have hallucinations, You need mental rehabilitation therap

Kama unaota na kama unaona tunavyo chati hapa ni ndoto(njozi), Basi wahi kituo cha afya haraka sana kwa matibabu.

You have hallucinations, You need mental rehabilitation therapy.
Umeshindwa kuthibitisha Kwamba unaishi na Sisi jinsi tunavyo iangalia DNA ya viumbe ilivyo na tunasikia watu Kama wewe mnasema eti hiyo DNA ilijitengeneza yenyewe tunaona kabisa kuwa mnahitaji mental treatment Kwa kuwa ni kichaa pekee atakaye amini DNA ilitoka kwenye nothing.
 
Quran 112:1
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
112:2 - Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
112:3 - Hakuzaa wala hakuzaliwa.
112:4 - wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
Infropreneur 14:7
Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na muumbaji.

14:8- Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake, Hata muumbaji wa kila kitu lazima awe na muumbaji wake mwingine. Hivyo hivyo pasipo kukoma.
14:9- Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muumbaji. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje kuwepo pasipo muumbaji.
14:10- Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina muumbaji.

Infropreneur;
20:1- Ulimwengu Hauna muumbaji.
20:2- Ulimwengu Hauhitaji kuwa na muumbaji.
20:3- Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo milele yote.
Hizi Aya nimekuwekea Ili kukuonyesha kile ambacho Mimi nakiamini kuhusu uwepo wa Mungu kiimani
Hizi aya nimekuwekea kukuonyesha vile logic ilivyo kifalsafa.
Wala sijakuambia au kukulazimisha na wewe uamini kama Mimi
Hukatazwi kuwa na imani yako, unaweza kuamini hata mawe, milima mapango, majabali n.k

Lakini ukianza kudai kwamba imani yako ina ukweli lazima uthibitishe.
Ila Mimi nataka wewe uthibishe kile ambacho unakiamini Kwa sababu wewe unasema hauwezi kuamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa akili zako
Sihitaji kuamini.

Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Sasa Cha ajabu na wewe tena unaamini kitu ambacho hauwezi kukithibisha Kwa kutumia akili yako
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.
Na kama Kila unachokiamini unaweza kukithibisha Kwa akili zako haya thibisha Sasa hi kauli yako
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

1) Jua halijazuka
2) Jua limekuwepo milele
3) Jua litaendelea kuwepo milele
Hakuna wakati wowote ule ambapo Jua ☀️ halikuwepo, kisha likawepo.

Jua limekuwepo milele yote na wakati wote litaendelea kuwepo.

Na mwisho thibitisha kama wewe unazo akili Kwa kuzipiga picha hizo akili zako uweke picha yake hapa tuzione Ili tujue akili zako zinafananaje
Akili ni dhana ya kufikirika isiyo katika umbo la kuonekana au kushikika.

Akili ni kielelezo cha namna gani ubongo 🧠 hufanya kazi.

Akili ni nomino dhahania. Sawa na nomino kama njaa, kiu, hofu, woga, wasiwasi n.k

Do you get the point?
 
Umeshindwa kuthibitisha Kwamba unaishi
Kwa hiyo mimi nimekufa?

Kama siishi nafanyaje?

Hebu eleza hapa.
na Sisi jinsi tunavyo iangalia DNA ya viumbe ilivyo na tunasikia watu Kama wewe mnasema eti hiyo DNA ilijitengeneza yenyewe tunaona kabisa kuwa mnahitaji mental treatment Kwa kuwa ni kichaa pekee atakaye amini DNA ilitoka kwenye nothing.
Pia ni kichaa pekee ndio ataamini Mungu alitokea from Nothing.
 
Jibu kwanza swali la yai kujitaga ama kutagwa then uulize hilo swali la aliko tokea Mungu...
Viumbe wote pamoja na ndege wote watagao mayai, Wamekuwepo milele.
Majibu kuhusu alikotokea Mungu utapewa na wadau hapa....

Haya twende hatua kwa hatua....
Unataka twende hatua kwa hatua, Wakati tayari umesharuka hatua na kukwepa swali la muumbaji wa huyo Mungu ni nani?

Usiruke hatua.

Eleza. 👇

1- Huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile, Alikuwa wapi?

2- Huko alikokuwa ni wapi?

3- Huko alikokuwa kuliumbwa na nani?

3- Huyo Mungu aliumbwa na nani?
Yai lililo leta ndege wa kwanza kabisa lilitoka wapi?
Hakuna yai lililoleta ndege wa kwanza.

Kuna mamilioni ya species za ndege na wote wana mayai yenye size tofauti tofauti.

Kuna mayai makubwa ya ndege wakubwa kama mbuni, bata, kuku, kanga, kware n.k

Pia kuna mayai madogo ya ndege wadogo wadogo kama mbayuwayu n.k

Hivyo Hakuna yai la kwanza lililoleta ndege wa kwanza.

Kuna ndege wengi sana wa size tofauti tofauti na wenye mayai tofauti tofauti yenye ukubwa tofauti.

Una elewa?
 
Funny thing is:
No one can prove God exists.
And
No one can be prove he doesn't.

My take is : I don't know if he does or doesn't.
I second you.

And get this; There isn't any canon definition of a god, we basically cannot contemplate such an absurd being.
 
Tunasema hivi;
AMINI MUNGU YUPO, HATA UKIFANIKIWA KWENDA MBINGUNI NA UKAMKUTA ISIKUGHARIMU, KULIKO KUAMINI HAYUPO ALAFU UKAMUONA NDIYE HUYU HAPA!.
 
Hakuna wakati wowote ule ambapo Jua ☀️ halikuwepo, kisha likawepo.

Jua limekuwepo milele yote na wakati wote litaendelea kuwepo.

Haya uliyoyasema hapo ndio nataka uyathibishe

Nani aliyekuambia kuwa jua lilikuwepo milele na litaendelea kuwepo milele?

Kwani useme na kuamini vitu ambavyo hauwezi kukithibisha?

Au na wewe upo katika kundi la viumbe ambavyo Kuna vitu hawawezi kukithibisha?
 
Back
Top Bottom