Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

How can you apply something you don't believe? It's called blind faith. So ukubali wewe ni mtumwa wa kufuata kitu usicho kijua.

Si ndo hayo ya kwenye bible ambayo ni religious dogma?
Kama sivyo elezea dhana nyingine ya Mungu unayosema unaijua..
Acha niitwe mtumwa I won't stop believing in God
 
Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo. Lakini Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Hata wewe hukuumbwa na huyo Mungu, Umezaliwa kutoka kwa wazazi wako.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Asingelikuwepo Mungu usingekuwepo, hao waliokuzaa hawakuibuka tu kutoka kusikojulikana bali waliumbwa na Mungu.

Ndege aliyetaga yai kwa mara ya kwanza duniani, aliumbwa pia....

Pasipo Mungu hakuna kilichofanyika duniani.

Mheshimu na kumwabudi Mungu aliyekuumba..

Acha upumbavu.
 
Sawa, ila I thought you had guts to seek more about your beliefs and faith. Kumbe ndo walewale wafia dini.
Ila ni vizuri you must have faith on something greater than yourself.
Huu mjadala sio wa kuisha Leo
Sifii dini namfia kristo
You easily judge someone by what you think
 
Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?

Kama huyo Mungu hajawahi kuonekana, ilijulikanaje kwamba yupo?

Au unafosi imani zako ulizo aminishwa na kupumbazwa na dini yako?
Mungu amejifunua kupitia manabii wake. Mmoja ni Musa na mwingine ni Kristo Yesu sura yake Mungu.
 
Kama hicho kisimu chako cha kichina ki creator mtu aliye kiunda kina systems kadhaa ambazo ni simple systems kama chaji,sauti na mifumo mingine vipi kuhusu wewe usiwe na creator ambaye ni zaidi ya genius ambaye katengeneza jinsi ulivo bora na unamifumo ming na very complicated na akakupa na mifumo had ya ufahamu ila umeamua kuwa kilaza inasikitisha sana🥹
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na creator, Hata huyo creator lazima awe na creator wake mwingine.

Creator huyo hawezi kuwepo tu, from nowhere.

Kilaza ni wewe ambaye unalazimisha kila kitu kiwe na creator, Halafu ukiulizwa creator wa huyo "creator" Hujui.
 
Asingelikuwepo Mungu usingekuwepo, hao waliokuzaa hawakuibuka tu kutoka kusikojulikana bali waliumbwa na Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Ni wewe tu unafosi na kulazimisha kila kitu kiwe kimeumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.
Ndege aliyetaga yai kwa mara ya kwanza duniani, aliumbwa pia....
Ndege Hawaumbwi.

Ndege wanazaliana.
Pasipo Mungu hakuna kilichofanyika duniani.
Pasipo Mungu kila kitu kimefanyika duniani.
Mheshimu na kumwabudi Mungu aliyekuumba..
Hakuna Mungu aliyeniumba.

Mimi sijaumbwa.

Mimi nimezaliwa kutoka kwa wazazi wangu.
Acha upumbavu.
Mpumbavu ni wewe pamoja na huyo Mungu.
 
Wale kina proud to be .................................. njooni, huku, si mnakuwa wakali sana akibezwa Mungu wenu, njoo jamaa anakufuru
 
Hakuna utata zaidi yakukusikitikia ulivyo mbali na ukweli. Mungu anawapenda japo mnamtoa kasoro kibao mkitamani angefanya mnavyopenda. Hata hivyo kimoyomoyo mnakubali kazi na kutaka aonekane ili mumpe maua yake.

Lkn hawezi kuonekana Mr. Utachosha akili yako.
Mungu gani mwenye upendo ameshindwa na anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto na wanawake wanaokufa na kuteseka kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi, radi na shida nyingine nyingi sana...

Mungu gani anayetupenda kwa hali za watoto kama hawa...👇
FB_IMG_1737375861704.jpg
JamiiForums1832832046.jpeg

Huyo Mungu kama yupo ni Mungu mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist, nunda, dikteta na hana hata chembe ya upendo wala huruma.

Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
 
Hahaha ikitokea Mungu akaonekana sijui mtasujudu, au mtaendelea kukaza tu kwamba hatukumtaka wa hivi.

Acheni ulevi.
Huyo Mungu kama yupo, Anacho jifichia huko alipo ni nini?

Si ajitokeze hadharani ajulikane yupo bila utata na utofauti wa kiimani?
 
Ila bange 🤣🤣🤣🤣, Mtu umepiga paf zako 10 akili inakuambia andika verse moja ya kuwaaminisha watu Mungu hayupo.

Yaani hii verse yako moja ndo unataka ishinde hoja zote zilizo katika maandiko yote na imani za watu.

Ni kush gani hiyo?
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anajificha huko alipo, Halafu anataka kuaminiwa akiwa mafichoni?

Huyo Mungu akijitokeza hadharani akajulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani itamcost nini?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Anayewaza kwa kutumia makalio ndiye tu awezaye kusema hivi
This kind of fallacy is called ad hominem attack.

Umeishiwa hoja, unaleta Viroja.

You are a fool halfwit bastard.

Wewe unawaza kwa kutumia k ya mama yako.
 
Anfalia ufundi wa uumbaji wa Mungu,hewa ya oxygen ya bure, mfumo wa mwili wako, uwepo wa usiku na mchana. Je hivi vinatokea kwa bahati mbaya? HII NI NGUVU YA MUNGU. MUUMBA WA VIUMBE WOTE
 
Anfalia ufundi wa uumbaji wa Mungu,hewa ya oxygen ya bure, mfumo wa mwili wako, uwepo wa usiku na mchana. Je hivi vinatokea kwa bahati mbaya? HII NI NGUVU YA MUNGU. MUUMBA WA VIUMBE WOTE
Kwa nini unadhani vitu hivi "oxygen, mfumo wa mwili, usiku na mchana" Haiwezekani kutokea kwa bahati mbaya tu?

Kwa nini hujiulizi pia, Je huyo Mungu na yeye alitokea kwa bahati mbaya tu?

Kama haiwezekani hewa ya oxygen, mfumo wa mwili, usiku na mchana kutokea kwa bahati mbaya tu, Huyo Mungu ilikuwaje akatokea kwa bahati mbaya tu?

Kwa nini unalazimisha hewa ya oksijeni, mfumo wa mwili, usiku na mchana viwe na muumbaji, Halafu una mu exclude huyo Mungu kwenye kuwa na muumbaji?

Je muumbaji wa huyo Mungu ni nani?
 
Kwa haya majibu yako tayari umeshajijua kuwa wewe ni kiraza

Kwa kuwa wewe ni kiraza hata ukisema hakuna Mungu sawa tu
This kind of fallacy is called ad hominem attack.

Badala ya kujibu hoja kwa hoja unamshambulia mleta hoja.

Umeishiwa hoja unaleta viroja na matusi.

Kilaza ni Baba na Mama yako waliozaa punguani zumbukuku kama wewe.

You are a fool halfwit bastard.

Idiot nincompoop.
 
This kind of fallacy is called ad hominem attack.

Umeishiwa hoja, unaleta Viroja.

You are a fool halfwit bastard.

Wewe unawaza kwa kutumia k ya mama yako.
Anayewaza kwa kutumia makalio hutukana kwa kutaja utupu wa mwanamke ilhali ndani ya utupu huo ndimo alipita kuja duniani 😂😂
 
Back
Top Bottom