Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ulikuwa hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha niitwe mtumwa I won't stop believing in GodHow can you apply something you don't believe? It's called blind faith. So ukubali wewe ni mtumwa wa kufuata kitu usicho kijua.
Si ndo hayo ya kwenye bible ambayo ni religious dogma?
Kama sivyo elezea dhana nyingine ya Mungu unayosema unaijua..
Asingelikuwepo Mungu usingekuwepo, hao waliokuzaa hawakuibuka tu kutoka kusikojulikana bali waliumbwa na Mungu.Ni wewe tu unafosi na kulazimisha iwe hivyo. Lakini Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Hata wewe hukuumbwa na huyo Mungu, Umezaliwa kutoka kwa wazazi wako.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Sawa, ila I thought you had guts to seek more about your beliefs and faith. Kumbe ndo walewale wafia dini.Acha niitwe mtumwa I won't stop believing in God
Huu mjadala sio wa kuisha LeoSawa, ila I thought you had guts to seek more about your beliefs and faith. Kumbe ndo walewale wafia dini.
Ila ni vizuri you must have faith on something greater than yourself.
Acha MOYO mgumu wewe huwezi piga teke mchokoo wewe. Okoka ndugu siku mbaya inakuja ambapo wasiomwamini Mungu watalia Sana.Ahsante ndugu akiuonja Rose Muhando inatosha.
Mungu amejifunua kupitia manabii wake. Mmoja ni Musa na mwingine ni Kristo Yesu sura yake Mungu.Kama hakuna aliyewahi kumuona Mungu, Wewe ulimuona wapi ukajua yupo?
Kama huyo Mungu hajawahi kuonekana, ilijulikanaje kwamba yupo?
Au unafosi imani zako ulizo aminishwa na kupumbazwa na dini yako?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na creator, Hata huyo creator lazima awe na creator wake mwingine.Kama hicho kisimu chako cha kichina ki creator mtu aliye kiunda kina systems kadhaa ambazo ni simple systems kama chaji,sauti na mifumo mingine vipi kuhusu wewe usiwe na creator ambaye ni zaidi ya genius ambaye katengeneza jinsi ulivo bora na unamifumo ming na very complicated na akakupa na mifumo had ya ufahamu ila umeamua kuwa kilaza inasikitisha sana🥹
Hizi ni hadithi za kwenye hekaya za Biblia.Mungu amejifunua kupitia manabii wake. Mmoja ni Musa na mwingine ni Kristo Yesu sura yake Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Asingelikuwepo Mungu usingekuwepo, hao waliokuzaa hawakuibuka tu kutoka kusikojulikana bali waliumbwa na Mungu.
Ndege Hawaumbwi.Ndege aliyetaga yai kwa mara ya kwanza duniani, aliumbwa pia....
Pasipo Mungu kila kitu kimefanyika duniani.Pasipo Mungu hakuna kilichofanyika duniani.
Hakuna Mungu aliyeniumba.Mheshimu na kumwabudi Mungu aliyekuumba..
Mpumbavu ni wewe pamoja na huyo Mungu.Acha upumbavu.
Mungu gani mwenye upendo ameshindwa na anashindwa kuwasaidia maelfu ya watoto na wanawake wanaokufa na kuteseka kwa njaa, vita, magonjwa, majanga ya asili kama vimbunga, mafuriko, matetemeko ya ardhi, radi na shida nyingine nyingi sana...Hakuna utata zaidi yakukusikitikia ulivyo mbali na ukweli. Mungu anawapenda japo mnamtoa kasoro kibao mkitamani angefanya mnavyopenda. Hata hivyo kimoyomoyo mnakubali kazi na kutaka aonekane ili mumpe maua yake.
Lkn hawezi kuonekana Mr. Utachosha akili yako.
Huyo Mungu kama yupo, Anacho jifichia huko alipo ni nini?Hahaha ikitokea Mungu akaonekana sijui mtasujudu, au mtaendelea kukaza tu kwamba hatukumtaka wa hivi.
Acheni ulevi.
Anayewaza kwa kutumia makalio ndiye tu awezaye kusema hiviNdege Hawaumbwi.
Ndege wanazaliana.
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anajificha huko alipo, Halafu anataka kuaminiwa akiwa mafichoni?Ila bange 🤣🤣🤣🤣, Mtu umepiga paf zako 10 akili inakuambia andika verse moja ya kuwaaminisha watu Mungu hayupo.
Yaani hii verse yako moja ndo unataka ishinde hoja zote zilizo katika maandiko yote na imani za watu.
Ni kush gani hiyo?
This kind of fallacy is called ad hominem attack.Anayewaza kwa kutumia makalio ndiye tu awezaye kusema hivi
Kwa nini unadhani vitu hivi "oxygen, mfumo wa mwili, usiku na mchana" Haiwezekani kutokea kwa bahati mbaya tu?Anfalia ufundi wa uumbaji wa Mungu,hewa ya oxygen ya bure, mfumo wa mwili wako, uwepo wa usiku na mchana. Je hivi vinatokea kwa bahati mbaya? HII NI NGUVU YA MUNGU. MUUMBA WA VIUMBE WOTE
This kind of fallacy is called ad hominem attack.Kwa haya majibu yako tayari umeshajijua kuwa wewe ni kiraza
Kwa kuwa wewe ni kiraza hata ukisema hakuna Mungu sawa tu
Anayewaza kwa kutumia makalio hutukana kwa kutaja utupu wa mwanamke ilhali ndani ya utupu huo ndimo alipita kuja duniani 😂😂This kind of fallacy is called ad hominem attack.
Umeishiwa hoja, unaleta Viroja.
You are a fool halfwit bastard.
Wewe unawaza kwa kutumia k ya mama yako.