Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Madai ya uwepo wa Mungu yametoka na yalianzia kwenu ninyi watu wa dini na imani.

Ninyi waamini Mungu ndio mnadai na kuamini kuna Mungu. Hivyo hivyo mnaamini na kudai kuna Shetani.

Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu na shetani. Mnaodai wapo.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya kusema kwamba kuna Mungu, Ina maana kwamba madai yenu ni ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba Unaishi? Hebu thibitisha Kwamba unaishi, tuanzie hapo kwanza
 
Nimeuliza hili swali naona sijibiwi na wenye hoja kama zako, hivi kubaka watoto wadogo ni kosa? Kama ni kosa ni Kwa mujibu wa standards za Nani?
Kila mwanadamu kuna vitu ambavyo hataki afanyiwe kwaku apply common sense tu. Wala huitaji standards.

Wewe ukiwa na mtoto wako mdogo, Halafu akabakwa, Je utaona ni sawa tu?

Kama utaona ni sawa, Basi una dalili za ukichaa na common sense zako zimekufa.

Kama hutaona ni sawa, Basi common sense zako zipo timamu.
 
Ni bora uamini mungu yupo na uishi atakavyo kuliko kutokuamini then ukute yupo! just saying....
 
Wewe unaweza kuthibitisha kwamba Unaishi? Hebu thibitisha Kwamba unaishi, tuanzie hapo kwanza
Sasa kama siishi, Ningewezaje kukujibu hapa?

Si ningekuwa huko futi sita kaburini?

Naishi. Ndio maana tunafanya mahojiano hapa JF.
 
Haziwezi kuwa valid.

Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.

Haziwezi kuwa valid.

Kwa sababu hujatoa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Umefanya assumptions tu kwamba ulimwengu na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu bila kuthibitisha kwanza uwepo wa huyo Mungu.
Kama unaona hizo ni mere assumptions na siyo reasonable explanation to why there is something instead of nothing and from that it logically follows kwamba kuna intelligent designer behind all that, basi tuambie wewe explanation yako ya kwa nini hivi vitu vipo ulimweguni ni ipi? By the way unaweza kuthibitisha Kwamba Mungu hayupo if so, how?
 
Ukisema na kudai kitu kipo, Jukumu la kuthibitisha lipo kwako. Maana madai ni ya kwako. Hivyo uthibitisho unatakiwa utoke kwako pia.

Ukidai Mungu yupo, thibitisha madai yako, Kwaku prove uwepo wa huyo Mungu.

Ukishindwa ku prove madai yako ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yako ni ya uongo.

Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

Atheists 24:7 Mpumbavu mfia dini amesema moyoni, Kuna Mungu; Wanaamini vitu bila uthibitisho na kutetea imani zao uchwara. Hakuna afikiriaye kwa utimamu.
🤣 🤣 🤣
 
Sasa kama siishi, Ningewezaje kukujibu hapa?

Si ningekuwa huko futi sita kaburini?

Naishi. Ndio maana tunafanya mahojiano hapa JF.
Una uhakka gani kama Mimi sioti kwamba najibizana na wewe sasa hivi? Au labda nimechanganyikiwa Kwa hiyo naona kama Niko jamiiforums kumbe ni mawazo yangu tu Ila siyo kwamba wewe uko hai
 
Alizaliwa na kiumbe kilicho tangulia kabla yake.
kiumbe kilichomtangulia chanzo chake ni kuingiliwa kimwili hatimaye kikapata ujauzito...

Unakwama wapi kubaini kiumbe kilichozindua hayo yote hatimaye kukawepo vizazi na vizazi?
 
Kwanini Mungu hamuui Shetani ?


Kama Shetani ndio chanzo cha uovu kwanini huyo Mungu anakuja kumuadhibu binadamu Kwa kuwa muovu wakati chanzo ni Shetani ambae aliumbwa na Mungu pia?


Huyo Mungu ana akili kweli ?
Tena Mkuu, cha ajabu kwa kurejea kitabu cha Ayubu, shetani ni mshikaji kabisa wa Mungu, wanapiga stori namna ya kumsulubu Ayubu baba wa watu kisa tu ni kashika imani!!!
 
K

kiumbe kilichomtangulia chanzo chake ni kuingiliwa kimwili hatimaye kikapata ujauzito...
Ili kiumbe kipya kitokee, Lazima kuwepo viumbe viwili, female na male.

Kwa hivyo hakuna kiumbe kimoja kilicho anzisha viumbe wote.

Do you get the point?
Unakwama wapi kubaini kiumbe kilichozindua hayo yote hatimaye kukawepo vizazi na vizazi?
Hakuna kiumbe kimoja kilicho anzisha viumbe wote.

Kila kiumbe kimetokana na uwepo wa viumbe wawili female na male.

Hivyohivyo pasipo kukoma. Endless to infinity.
 
Mungu ni dhana uchwara tu.

Mungu ni dhana uchwara iliyotungwa na watu tu.

Mungu ni imaginations just an illusion.

Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika tu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
nadharia au sio poaa 😃
 
Back
Top Bottom