Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.
Upepo upo kwa kuhisika, kupimika na kusikika.
Upepo ukivuma unasikika, Pia tunauhisi.
Upepo unapimika. Tunaweza kupima upepo kwa kutumia vifaa kama Anemometer na Windvane.
View attachment 3208770
Sasa huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Huyo Mungu Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, Haisiki na wala Hapimiki.
Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika mawazo na imani za kufikirika tu.
Mungu huyo mmemtunga huko vichwani mwenu tu, na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.