Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.

Ni wewe tu unafosi na kulazimisha kila kitu kiwe kimeumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.

Ndege Hawaumbwi.

Ndege wanazaliana.

Pasipo Mungu kila kitu kimefanyika duniani.

Hakuna Mungu aliyeniumba.

Mimi sijaumbwa.

Mimi nimezaliwa kutoka kwa wazazi wangu.

Mpumbavu ni wewe pamoja na huyo Mungu.
Alikuwepo Sauli nadhani humzidi kwa lolote alipinga uwepo na kufufuka kwa Kristo mwishowe Yesu alimtokea na kubadilishwa kuwa mtumwa wa Kristo hakuwa mtumishi Bali mtumwa. Jiangalie Sana.
 
We sauli umemuona wapi
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Umepita njia ya mkato ambayo pia si sahihi katika kufanya majumuisho ya bandiko lako, hata hivyo ni uamuzi wako kuamini au kutoamini katika imani za dini.
 
We sauli umemuona wapi
Wakijiona WENYE akili wakipumbazika. Hivi vizazi vijavyo vikiambiwa suala la Rais wa kwanza Tanganyika Nyerere alafu akatokea mtu kupinga akitaka kumuona akiwa hai ndio aamini mtu wa namna hii atachukukiwa vipi?.
 
Kweli eeeeh
images (4).jpeg
 
Wakijiona WENYE akili wakipumbazika. Hivi vizazi vijavyo vikiambiwa suala la Rais wa kwanza Tanganyika Nyerere alafu akatokea mtu kupinga akitaka kumuona akiwa hai ndio aamini mtu wa namna hii atachukukiwa vipi?.
Jibu swali sauli we ulimuona wapi mbona kelele nyingi
 
Kuna jibu gani ulilotoa zaidi ya ufafanuzi uchwara?
Huo ufafanuzi usome kwa kutafakari utaelewa vizuri. Tatizo akili imenembwa.

Maswali yako Kama mtoto. Sijui Mungu asimuumbe shetani, shetani nae atawaza Bora usingeumbwa wewe huoni Kama Ni maswali ya kijinga. Acha kuangalia nafsi yako na wenzako tu angalia na nafsi za viumbe wengine wakina shetani na wakina ng'ombe ambao wanakula kisu kila leo machinjioni huko na bado hujaleta Uzi hapa wa utetezi wa mateso ya ng'ombe,kuku, na mbuzi au hata picha ya machinjio ya ng'ombe Kama kweli unahuruma.

Huruma ya wapi hiyo wakati maisha yako ya dhambi tu Ni maumivu kwa wengine pasipo kujua. Acha zako na maswali yako uchwara.
 
Unaita maswali ya kijinga, Halafu umeshindwa hata kuyajibu.

Huna majibu yenye mantiki zaidi ya imani yako uchwara uliyo pumbazwa na kuaminishwa.
 
Alikuwepo Sauli nadhani humzidi kwa lolote alipinga uwepo na kufufuka kwa Kristo mwishowe Yesu alimtokea na kubadilishwa kuwa mtumwa wa Kristo hakuwa mtumishi Bali mtumwa. Jiangalie Sana.
Huyo Yesu sijui Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea mwenyewe, Kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mnahangaika sana kumwelezea na kumtetea.
 
Unaita maswali ya kijinga, Halafu umeshindwa hata kuyajibu.

Huna majibu yenye mantiki zaidi ya imani yako uchwara uliyo pumbazwa na kuaminishwa.
Si unaona Sasa maneno yako ndo yaleyale yakujirudia rudia. Hii inamaana kwamba hata Mungu ashuke Leo bado huwezi kumuamini. Maana hata angekuwa anaonekana bado pia ungesema; "Mimi ningekuwa Mungu nisingeonekana kabisa"

Huna tofauti na mwanamke ambaye Ni kigeugeu hajui anachotaka.
 
Huyo Mungu hawezi kushuka kwa sababu hayupo.

Ni wewe tu uhangaika kutetea dhana ya kufikirika.
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Trump ni bilionea lakini ni mkristu.
Hoja yako ya kuhusisha ukristu na umasikini Haina mashiko
 
Huyo Mungu hawezi kushuka kwa sababu hayupo.

Ni wewe tu uhangaika kutetea dhana ya kufikirika.
Aliekwambia Ni dhana ya kufikirika Ni nani? Mungu Ni kweli sio dhana yakufikirika. Mtaje hapa au lete evidence sio unaongea ongea tu
 
Huyo Mungu kama ni kweli, Aje hapa yeye mwenyewe ajitetee , kama ana huo uwezo.
 
Huyo Yesu sijui Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea mwenyewe, Kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mnahangaika sana kumwelezea na kumtetea.
Kuna tajiri aliyeomba mtu atoke kwa wafu ndio watu wataamini akaambiwa hata mtu akitoka kwa wafu hawatoamini. Yesu yu hai, anaponya, anafungua, na anabariki Sana tu. Natamani nikuwekee mikono upokee roho mtakatifu. Karibu kwa Yesu ndugu yangu anakupenda Sana akutumie kwa utukufu wa jina lake.
 
Hekaya za Abunuwasi, Esopo, kalume kenge na Alfu lela ulela.
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini.
Bora uamini MUNGU yupo ufike umkose kuliko usiamini kabisa then ukamkuta
 
Back
Top Bottom