Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Fala sana wewe, akili zako hazijitambui umefungwa na nira ya kuamini dini za kijinga zilizoletwa na wazungu na waarabu walioteka babu na bibi zako na wakawauza kwa mafungu kama nyanya, na wengine wakafanyia unyama mkubwa ikiwemo ulawiti na utumwa wa Kingono hadi kwa vibinti vidogo, Leo unaamini mavitabu yao yaliyoletwa kwenye majahazi kuliko unavyomwamini baba na mama yako na babu zako!! Shwaini wee!!Acha uzoba, ile ingekuwa ajali wangezuia ndani ya masaa 2 tu.
USA sio bongo we zoba
Fala mwenyewe...Fala sana wewe, akili zako hazijitambui umefungwa na nira ya kuamini dini za kijinga zilizoletwa na wazungu na waarabu walioteka babu na bibi zako na wakawauza kwa mafungu kama nyanya
Hilo lina uhusiano gani upumbavu wako wa kuabudu Miungu ya wakoloni!!? Unakanyagwa wewe na kizazi chako.Fala mwenyewe...
Bibi Titi anapotembeza kibakuli huko ughaibuni huwa anaomba msaada kwa mbwa au hao hao waliowalawiti mababu zake?
Kwa nini wakaombe msaada kwa watu waovu?
Bibi Titi alipouza bandari kwa waarabu hakujua kuwa hao ndio waliowauza wazee wake kama nyanya na kuwalawiti?
Wewe ni fala wa mafala nguchiro wahed weye.
Unakanyagwa mwenyewe nguchiro wahed weyeUnakanyagwa wewe na kizazi chako
Wewe je asili Yako ni nini umetoka wapi na ulipo tokea palianzia wapi,huu ulimwengu ulianza wapi na icho chanzo Cha ulimwengu kilianzishwa na nani?Mwanadamu anapozaliwa anakuwa hana imani wala dini ya aina yeyote ile. Mpaka pale wazazi wako au walezi wako wanapo kuridhisha na kukuaminisha kwenye imani zao.
Ndipo na wewe unaanza kuamini kwenye imani ulizo aminishwa na wazazi au walezi wako.
Wahadzabe wanaishi vile kwa sababu ndio utamaduni wao na ndio asili yao.
Hata kabla ya ujio wa wazungu na waarabu hapa Afrika. Tuliishi kwa tamaduni zetu na asili zetu.
Hizi imani za kidini tumeletewa tu.
Asili yangu ni wazazi wangu.Wewe je asili Yako ni nini
Nimetoka tumboni kwa mama yangu.umetoka wapi
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeanzia mahali fulani, Hata huko mahali kunako anzia vitu, lazima kuwe kumeanzia mahali pengine fulani.na ulipo tokea palianzia wapi
Hakuna ulazima wa kwamba ulimwengu ulianzishwa na fulani.,huu ulimwengu ulianza wapi na icho chanzo Cha ulimwengu kilianzishwa na nani?
Surah Al-Baqarat: Ayah 41Asili yangu ni wazazi wangu.
Baba na Mama yangu.
Nimetoka tumboni kwa mama yangu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeanzia mahali fulani, Hata huko mahali kunako anzia vitu, lazima kuwe kumeanzia mahali pengine fulani.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kimeanzia mahali fulani, Hata Ulimwengu hauja anzia mahali fulani.
Ulimwengu ndio chanzo chenyewe.
Hakuna ulazima wa kwamba ulimwengu ulianzishwa na fulani.
Kama ulazima huo upo, Hata huyo Mungu lazima awe ameanzishwa na fulani.
Na huyo fulani awe ameanzishwa na fulani mwingine.
Hivyo hivyo pasipo kukoma.
Endless to infinity...
Na kama hakuna ulazima huo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havija anzishwa na yeyote yule.
Hilo lina uhusiano gani upumbavu wako wa kuabudu Miungu ya wakoloni!!? Unakanyagwa wewe na kizazi chako.
Unakanyagwa mwenyewe nguchiro wahed weye
Fala sana wewe, akili zako hazijitambui umefungwa na nira ya kuamini dini za kijinga zilizoletwa na wazungu na waarabu walioteka babu na bibi zako na wakawauza kwa mafungu kama nyanya, na wengine wakafanyia unyama mkubwa ikiwemo ulawiti na utumwa wa Kingono hadi kwa vibinti vidogo, Leo unaamini mavitabu yao yaliyoletwa kwenye majahazi kuliko unavyomwamini baba na mama yako na babu zako!! Shwaini wee!!
Unaniletea hizi hadithi za kusadikika za Quran hekaya zenu hizo.Surah Al-Baqarat: Ayah 41
وَءَامِنُواْ بِمَآ أَنزَلۡتُ مُصَدِّقٗا لِّمَا مَعَكُمۡ وَلَا تَكُونُوٓاْ أَوَّلَ كَافِرِۢ بِهِۦۖ وَلَا تَشۡتَرُواْ بَِٔايَٰتِي ثَمَنٗا قَلِيلٗا وَإِيَّٰيَ فَٱتَّقُونِ
Na aminini niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu.*
Surah Al-Hadid: Ayah 3
هُوَ ٱلۡأَوَّلُ وَٱلۡأٓخِرُ وَٱلظَّٰهِرُ وَٱلۡبَاطِنُۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيۡءٍ عَلِيمٌ
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.
*Unaniletea hizi hadithi za kusadikika za Quran hekaya zenu hizo.
Unaniletea hizi hadithi za kusadikika za Quran hekaya zenu hizo.
Kutumia Quran kama uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.Surah Al-Isr'a-u: Ayah 85
وَيَسَۡٔلُونَكَ عَنِ ٱلرُّوحِۖ قُلِ ٱلرُّوحُ مِنۡ أَمۡرِ رَبِّي وَمَآ أُوتِيتُم مِّنَ ٱلۡعِلۡمِ إِلَّا قَلِيلٗا
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.