Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Nami pia nimegundua wewe haupo duniani wala mbinguni ni utapeli mtupu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
This kind of fallacy is called Logical non sequitur.

Unaunganisha stori za uongo na uchwara za vijiweni kutaka kusema kwamba ndio zimesababisha moto 🔥 wa Los Angeles.

Kumbe una chuki zako binafsi kwa taifa la Marekani.

Ninyi watu wa dini ni wajinga sana.
 
Gazeti refu limejaza utumbo
Hili hapa gazeti fupi...!!

Your browser is not able to display this video.


The Golden Globes Award was held last week in Los Angeles, USA. During the Award Ceremony, God was mocked.

Shortly after the Awards, fire erased the Holywood City, especially the Pacific Palisades (the homes of the rich and powerful in the entertainment industry).

God cannot be mocked. When you minus the almighty God, you court disaster.

Another Titanic experience.
 
Ukiona unaanza kufikiri namna hii jua umeanza KUDATA.
 
Correlation doesn't imply causation.
 
Mtu mjinga ambaye hajawahi hata kugundua au kutengeneza njiti ya kiberiti lakini amegundua Mungu hayupo mi maajabu haya.
Extrovert Terminator
Mshana Jr
 
Gazeti refu limejaza utumbo
Kaka naomba unitafute kama huamini katika Mungu au Shetani naomba nikupe test moja tu ya kiimani kidogo kitakacho kukuta naomba nisilaumiwe wala kutafutwa na mtu yeyote.

Kama upo tayari sema wataalamu wafanye yao
 
Sawia kama umegundua hivyo. Hakuna kesi hapo.
 
Kaka naomba unitafute kama huamini katika Mungu au Shetani naomba nikupe test moja tu ya kiimani kidogo kitakacho kukuta naomba nisilaumiwe wala kutafutwa na mtu yeyote.

Kama upo tayari sema wataalamu wafanye yao
Fanya hiyo test hapa sio blah blah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…