Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Mungu ambaye anapiganiwa, anatetewa na kuhangaikiwa na wanadamu ili aonekane yupo, Ni Mungu mdhaifu, mchovu na goigoi.

Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anajificha halafu anataka kuaminiwa akiwa mafichoni?

Kwa nini asijitokeze hadharani mwenyewe akajulikana yupo na kila mtu pasipo utata na utofauti wa kiimani?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee na kujiongelea mwenyewe kama ana huo uwezo.

Sio ninyi mumuhangaikie kumuelezea.

The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Ww Fala Mungu hajifichi wewe😆😆😆
Mwenyezi Mungu anapatikana Kwa urahisi na Kwa ukaribu kuliko wazazi wako waokuzaa.
. . . . Sijui Upuuzi wa Elimu uliyonayo Ulijifunzia Kwa waalimu Gani🤔
Njoo Ufundishwe Kweli yenye Matokeo.
 
Kama huyo Mungu wako ndio yupo namna hii, Basi ni Mungu mjinga na mpumbavu sana.

Ni Mungu mkatili, muuaji, muovu, bandidu, sadist, nunda, dikteta na hana hata chembe ya huruma.

Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
Kichwa chako kigumu sana kuelewa.
Ungekuwa Karibu Yangu ningekupiga na tofari la Kichwa Kwanza ndipo Nianze kukujaza na Madini ya Nguvu.
Sijui Nikutakie Nini kikupate ndio uelewe Uwepo wa Mungu ninae kufafanulia🤔🤔🤔
 
Na kama huyo Mungu alitupa freedom yakuchagua right and evil path, Basi hapaswi kuingilia freedom ya watu watakaochagua evil path.
Mungu haingilii freedom yako,.. na ndiyo maana kakuacha uchague njia unayotaka na ameweka wazi matokeo ya njia hiyo utakayoichagua.

Sasa hapo sidhani kama kuna kuingiliwa freedom kwa namna yoyote,.. Yaani uwekewe glass ya maziwa na glass ya sumu kisha uambiwe matokeo ya glass zote mbili iwapo utakunywa,... Ukinywa Glass yenye sumu na kupata matokeo ya sumu hiyo,. utasema umeingiliwa freedom yako hapo?

Just be good,..do good & treat others the way you want to be treated.......
 
Ww Fala Mungu
Fala ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Jibu kwa hoja si matusi.

Kama unataka matusi sema tuanze.
hajifichi wewe😆😆😆
Mwenyezi Mungu anapatikana Kwa urahisi na Kwa ukaribu kuliko wazazi wako waokuzaa.
. . . . Sijui Upuuzi wa Elimu uliyonayo Ulijifunzia Kwa waalimu Gani🤔
Njoo Ufundishwe Kweli yenye Matokeo.
Nakuuliza hivi 👇

Huyo Mungu kama alitaka aaminiwe yupo, kwa nini anajificha badala ya kujitokeza hadharani akajulikana yupo pasipo utata na utofauti wa kiimani?
 
Hujielewi
Asiyeamini uwepo wa Mungu ndiye hajielewi.....

Una kende, una kalio, una nyege nk halafu unakuja kuropoka hapa eti hakuna aliyekupa hivyo vyote....

Hebu niambie ulinunua wapi makede kisha ukajipachika mwenyewe?
 
Asiyeamini uwepo wa Mungu ndiye hajiekewi.....

Una kende, una kalio, una nyege nk halafu unakuja kuropoka hapa eti hakuna aliykupa hivyo vyote....

Hebu niambie ulinunua wapi makede kisha ukajipachika mwenyewe?
Hujielewi
 
Kichwa chako kigumu sana kuelewa.
Ungekuwa Karibu Yangu ningekupiga na tofari la Kichwa Kwanza ndipo Nianze kukujaza na Madini ya Nguvu.
Sijui Nikutakie Nini kikupate ndio uelewe Uwepo wa Mungu ninae kufafanulia🤔🤔🤔
Kwa nini unahangaika kumwelezea na kumtetea huyo Mungu, Kwani yeye hawezi kujitetea mwenyewe?
 
Mungu haingilii freedom yako,.. na ndiyo maana kakuacha uchague njia unayotaka na ameweka wazi matokeo ya njia hiyo utakayoichagua.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema alitupa freedom.
Sasa hapo sidhani kama kuna kuingiliwa freedom kwa namna yoyote,.. Yaani uwekewe glass ya maziwa na glass ya sumu kisha uambiwe matokeo ya glass zote mbili iwapo utakunywa,... Ukinywa Glass yenye sumu na kupata matokeo ya sumu hiyo,. utasema umeingiliwa freedom yako hapo?

Just be good,..do good & treat others the way you want to be treated.......
 
Imani Yako ni ndogo umeshindwa kutambua anafanya hayo yote ili watu wamgeukie
Huyo Mungu ni mjinga na mpumbavu sana.

Kwa hiyo anatesa watu, ili watu wengine waweze kumgeukia?

Je wewe ungependa uteswe au familia yako iteswe kisawasawa, ili watu wengine waweze kumgeukia huyo Mungu kupitia mateso yako na familia yako?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?
 
Aliteswa kwa dhambi zangu kwanini nikatae mateso ...
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii siku zote na wakati wote?
Angewaumba wemA wote angekuwa ameingilia uhuru wa binadamu
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema alitupa freedom.
Una kende, una kalio, una nyege, una anus nk halafu unakuja kuropoka hapa eti unataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu!?

Ni nani aliyekupa hivyo vyote....

Hebu niambie ulinunua wapi makede kisha ukajipachika mwenyewe?

Hizo kende ulizonazo ni uthibitisho tosha wa uwepo wa aliyezipachika kwako bure bila malipo
 
Fala ni baba na mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Jibu kwa hoja si matusi.

Kama unataka matusi sema tuanze.

Nakuuliza hivi 👇

Huyo Mungu kama alitaka aaminiwe yupo, kwa nini anajificha badala ya kujitokeza hadharani akajulikana yupo pasipo utata na utofauti wa kiimani?
Fala ni neg kivumishi punguwani ww na waliokuzaa nakukurithisha upunguwani wa hutotambua hata uhai ulionao ulitoka Wapi
 
Una kende, una kalio, una nyege, una anus nk halafu unakuja kuropoka hapa eti unataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu!?

Ni nani aliyekupa hivyo vyote....
Kwa nini unadhani kuna "nani" alitoa au anatoa hivi vitu?

Kwa nini Hudhani vitu hivi havijatolewa?

Kwa nini Unadhani viti hivi vilitolewa?

Wakati mtoto anazaliwa ulishamuona huyo "nani" akitoa hivi vitu?

Au unataka kufosi kwamba kende, kalio, nyege na anus vimetolewa na hutolewa na huyo Mungu?
Hebu niambie ulinunua wapi makede kisha ukajipachika mwenyewe?
Nilizaliwa na makende.

Makende hayatolewi wala kununuliwa.

Una elewa?
Hizo kende ulizonazo ni uthibitisho tosha wa uwepo wa aliyezipachika kwako bure bila malipo
Kwa nini unalazimisha kende ziwe zimepachikwa?

Mbona hujiulizi huyo aliyepachika kende, Na yeye alipachikwa na nani?

Kwa nini unafosi kende ziwe zimepachikwa?

Huyo aliyepachika kende, Na yeye alipachikwa na nani?
 
NIMEIKUTA HII MAHALA

Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia,

Ilikuwa hivi:

Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,

Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.

Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,

Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda, Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani,
Sasa hivi wanafyeka mahecta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lkn kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia,
mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia,
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,

Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,

Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,

BWANA MUNGU hadhihakiwi!
Like for real 🤔
 
Back
Top Bottom