Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

Itakuwa mshindani lakin sio kwa kiwango hicho au kwa haraka hiyo. Maana nakumbuka wakati wa euro inatoka kulikuwa na stor kama hiz pia. Nachojiuliza pia hiv kwa upande wa soft payed itakuwaje
Una maana gani Kwa hii👉soft payed
 
BRICS currency ni propaganda tu kwa sasa.
 
Hayo yote mnayo yajadili humu Kwa lengo la kupinga pesa ya BRICS wenzenu tayari walishayajua in short they know how to settle issues wanajua wafanye nini Kwa lengo gani na Kipi wasifanye

So nyie mnaopinga mnataka kutuambia kuwa Hao Marais na mawaziri wakuu wa nchi tofauti zilizo kutana hapo ni wajinga hawajui wanacho kifanya au sio !?

😁😁😁😁
Halafu mtu anayepinga sasa hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa Serikali za mitaa lakini Yuko hapana Ana mpinga na kumuona mjinga Putin na Xi jing ping watu ambao ni Viongoz wanao ongoza mataifa makubwa yenye ushawishi wa kijeshi na kisiasa duniani wonders shall never ends
 
hapa tutaumizwa masikini kuuzwa kwa master mwingine badala tufanye kama mwafrika maana huyu putin ajenda ni kisasi kwa marekani sio kufanya maisha yawe rahisi kwetu halafu huyu putin sijawahi hata kusikia hata product,project zozote za kijamii hapa Tanzania sijui yeye kajitokeza tuu wakati wa vita tuweni macho ukiwa boss huwezi kumuwezesha mtehja wako kiasi kwamba ajitegemee
 
Mimi pia sipendi tabia za Marekani mkuu Why?
1.Wanatumia hila kutuibia rasilimali zetu wakishirikiana na wanasiasa mafisadi.
2.Wanatumia mbinu ovu kutuua ili wawe custodians of our resources.
3.Wakitumia IMF,World Bank na viongozi wetu mafisadi kutuingiza kwenye mikopo isiyo na tija kabisa kwa Taifa letu.
4.Wakishirikiana na viongozi wetu mafisadi wameharibu elimu yetu ili tubaki kuwa mambumbumbu watutawale na waendelee kutuibia rasilimali zetu.
5.Wameharibu kilimo chetu na mazingira kwa nia ya kutuua huku wakisema uongo kuwa sisi ndio tunaoharibu mazingira yetu.Climate change is a deliberate manipulation by the US government,sisi kama binadamu hatuhusiki kabisa.
6.Wanatuletea madawa na vyakula vya kutuua, huku wakidai kuwa ni style zetu za maisha zinazotuletea matatizo, kumbe ni uongo.
7.Wameharibu maadili yetu kwa kutumia filamu, mtandao, TV na radio huku wakisema uongo kuwa wazazi hawalei watoto wao vizuri nk.nk.

Niseme ukweli,sipendi tabia za Marekani,ni nchi ovu sana.
 
Marekani anaua hadi watu wake mwenyewe kupitia business ya madawa ya kulevya ni kubwa mno US yaan more than evil sijui wana mpango gani na hii dunia ovyo tuu
 
Yaani Russia, China, Brazil na India kuwepo tu humo ni robo tatu ya dunia!
 
Umefafanua vizuri, huu ndo uhalisia japo wanazi wa marekani wanabisha
 
hebu nipe mfano waliyoharibu kilimo>?
IMF kwani inakopesha Tanzania peke yake?
Madawa kama yapi yanatuua?
 
Kama unaamini hii habari utakua zwazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…