gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
AmiiinDamu ya Gaddafi na iwe juu yao USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmiiinDamu ya Gaddafi na iwe juu yao USA
Dollar mpaka huko ndani ndani wanaijua then wewe unasema wanipe Brics ili nikaitumie huko Russia then nipigwe kombara na Ukraine nife alafu nirudishwe home kwa kutumia Dollar zilezileWew mwenyewe hapo ukiambiwa upewe hizo Brics note na US dollar utachagua ipi?
Is rothchilds behind this? If not it will fail
Sisi ndio tunapenda soko huria kila mtu achague kwenye unafuu sio kila vitu vya muhimu kama mafuta ni dola,madeni ni dola hapo huo mtihani sasa ndio maana maisha yanazidi ugumu dola wao wanaiuza dunia nzimaHapo sasa jdo utajua counter kutoka kwa wenye akili...mtoa mada anasema kuwa USA amenyanyasq watu na Dollar yake, sasa watu wanaleta njia ileile ya manyanyaso alafu tunashangilia...bado upatikanaji wa hiyo sarafu ikawa shida kama US Dollar vilevile.
USA akileta digital currency itakuba balaa tena.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.
Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana kwa mara ya kwanza katika hafla hiyo ya kimataifa, zimeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa mfumo wa fedha wa dunia.
Sarafu hiyo mpya inasemekana kuungwa mkono na bidhaa halisi kama dhahabu na mafuta, tofauti na Dola ya Marekani ambayo ni sarafu ya "fiat" isiyo na dhamana ya moja kwa moja ya mali.
Sarafu ya BRICS Kuipiku Dola ya Marekani?
Wachambuzi wanaeleza kuwa uzinduzi wa sarafu ya BRICS huenda ukawa mwanzo wa kipindi kipya cha kutoitegemea Dola ya Marekani katika biashara za kimataifa.
Wanaonya kuwa sarafu hiyo mpya inaweza kupunguza sana ushawishi wa kiuchumi wa Marekani ulimwenguni, hasa kutokana na ukweli kwamba nchi nyingi zinaweza kuacha kutumia Dola kama sarafu ya kibiashara.
Alikufa lini mkuuNipe sababu kwa nini unafikiri kama Rothschild hayupo it will fail.Kwanza laiti ungejua, yule Rothschild shrewed sana alishakufa sometimes this year.
💯%.Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.
BRICS imekosa common values za kuweza kuendesha mfumo wake wa kifedha kama huo. Nchi wanachama karibu zote zina ushirika wa karibu wa kibiashara (trading partnership) na Marekani ambayo huwa hainunui bidhaa kwa pesa tofauti na US Dollar.
China ndiye mwanachama wa BRICS mwenye uchumi mkubwa zaidi. Mshirika mkubwa wa kibiashara wa China ni Marekani. Nchi zingine zilizopo ndani ya BRICS kama India, Brazil na South Africa nazo zina ushirika mkubwa wa kibiashara (bilateral trade) na Marekani hiyohiyo.
Nimeona mahali Ramaphosa wa South Africa anasema kwamba Urusi ni "valuable ally" wa South Africa. Ukweli ni kwamba, Urusi haipo hata kwenye top 10 ya washirika wa karibu wa South Africa kibiashara. Hao wawili ni mfano mmoja tu wa member states ndani ya BRICS ambao hawafanyi biashara yoyote ya maana kimataifa. Kwa lugha nyingine, insignificant trade partnership.
Maana yake ni kwamba, member states zinatofautiana sana kimaslahi hasa linapokuja suala la uchumi. Nchi zinazopigia chapuo hiyo sarafu mpya ni chache tu ambazo ziko kwenye vikwazo vikubwa vya kiuchumi vya Marekani. Miongoni mwazo ni Urusi, Iran pamoja na North Korea ambazo zinashika hili bango la noti mpya kwa maslahi yao yanayotokana na kuwa na uhasama wa muda mrefu na Marekani.
Lakini tukijikita kwenye bigger picture, hakuna nchi yenye ushirika wa kibiashara na Marekani ambayo iko tayari kujitoa muhanga kiuchumi kwa kuachana na Dollar ili tu kuimarisha uhusiano na Urusi, Iran ama North Korea.
Kuna habari kwamba Zimbabwe na Venezuela pia zinataka kujiunga na BRICS. Matatizo ya hizo nchi ni ya kisera na siasa zao za ndani ambazo zimeharibu uchumi wa nchi lakini kwa namna fulani Mnangagwa na Maduro wanadhani wanaweza kuitumia BRICS kisiasa ili kuongeza chochote cha maana kwenye uchumi wa nchi zao.
Ni vigumu kujenga uchumi kwa mihemko na propaganda.
Ndio mabongo memgine yalivyo Brainwashed to the maximum.... Ni majinga sana baadhi ya viumbe vya Mungu.... Yapo kama mamijusi guluguja.....Currency ndio kwanza inakua introduced hata kufanya kazi bado unaanza kuleta ushindani.
Wabongo bana fikra zao!
Unajua Marekani na ulaya wote Bado wanafanya Biashara na Urusi pamoja na kuweka vikwazo vyao vyote!?? Na unajue kuwa hawatumii dollar kama medium of exchange!? .... Unajua Hilo Kwanza kuwa Marekani na ulaya Bado Wanafanya Biashara na Urusi Ili tuendelee!??Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.
BRICS imekosa common values za kuweza kuendesha mfumo wake wa kifedha kama huo. Nchi wanachama karibu zote zina ushirika wa karibu wa kibiashara (trading partnership) na Marekani ambayo huwa hainunui bidhaa kwa pesa tofauti na US Dollar.
China ndiye mwanachama wa BRICS mwenye uchumi mkubwa zaidi. Mshirika mkubwa wa kibiashara wa China ni Marekani. Nchi zingine zilizopo ndani ya BRICS kama India, Brazil na South Africa nazo zina ushirika mkubwa wa kibiashara (bilateral trade) na Marekani hiyohiyo.
Nimeona mahali Ramaphosa wa South Africa anasema kwamba Urusi ni "valuable ally" wa South Africa. Ukweli ni kwamba, Urusi haipo hata kwenye top 10 ya washirika wa karibu wa South Africa kibiashara. Hao wawili ni mfano mmoja tu wa member states ndani ya BRICS ambao hawafanyi biashara yoyote ya maana kimataifa. Kwa lugha nyingine, insignificant trade partnership.
Maana yake ni kwamba, member states zinatofautiana sana kimaslahi hasa linapokuja suala la uchumi. Nchi zinazopigia chapuo hiyo sarafu mpya ni chache tu ambazo ziko kwenye vikwazo vikubwa vya kiuchumi vya Marekani. Miongoni mwazo ni Urusi, Iran pamoja na North Korea ambazo zinashika hili bango la noti mpya kwa maslahi yao yanayotokana na kuwa na uhasama wa muda mrefu na Marekani.
Lakini tukijikita kwenye bigger picture, hakuna nchi yenye ushirika wa kibiashara na Marekani ambayo iko tayari kujitoa muhanga kiuchumi kwa kuachana na Dollar ili tu kuimarisha uhusiano na Urusi, Iran ama North Korea.
Kuna habari kwamba Zimbabwe na Venezuela pia zinataka kujiunga na BRICS. Matatizo ya hizo nchi ni ya kisera na siasa zao za ndani ambazo zimeharibu uchumi wa nchi lakini kwa namna fulani Mnangagwa na Maduro wanadhani wanaweza kuitumia BRICS kisiasa ili kuongeza chochote cha maana kwenye uchumi wa nchi zao.
Ni vigumu kujenga uchumi kwa mihemko na propaganda.
🤔🤔🤔🤔That is wishcasting!
The US is still king.
If the Euro couldn’t do it [with a much higher combined GDP and advanced economies of its members], then, whatever that BRICS currency is, ain’t got no chance against the $US.
💵 is and will be king for a long time.
Sawa tumekusikia acha waweke mfumo leo Hii dola Marekani akiamua apunguze mzunguko wake hapa tunaanza kutafutana acha liwe soko huria mtu apate anachotaka. Ndio maana umeona mafuriko ya nchi nyingi kutaka kuingia BRiCS wamechoka dola ni mfumo wa kibepari mbona Gadaffi alifanikiwa sana tu na maisha yalikua mazuri sio lazima kufanya biashara a US hapa duniani kila kitu kina mbadala wake japo havilinganiHiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.
BRICS imekosa common values za kuweza kuendesha mfumo wake wa kifedha kama huo. Nchi wanachama karibu zote zina ushirika wa karibu wa kibiashara (trading partnership) na Marekani ambayo huwa hainunui bidhaa kwa pesa tofauti na US Dollar.
China ndiye mwanachama wa BRICS mwenye uchumi mkubwa zaidi. Mshirika mkubwa wa kibiashara wa China ni Marekani. Nchi zingine zilizopo ndani ya BRICS kama India, Brazil na South Africa nazo zina ushirika mkubwa wa kibiashara (bilateral trade) na Marekani hiyohiyo.
Nimeona mahali Ramaphosa wa South Africa anasema kwamba Urusi ni "valuable ally" wa South Africa. Ukweli ni kwamba, Urusi haipo hata kwenye top 10 ya washirika wa karibu wa South Africa kibiashara. Hao wawili ni mfano mmoja tu wa member states ndani ya BRICS ambao hawafanyi biashara yoyote ya maana kimataifa. Kwa lugha nyingine, insignificant trade partnership.
Maana yake ni kwamba, member states zinatofautiana sana kimaslahi hasa linapokuja suala la uchumi. Nchi zinazopigia chapuo hiyo sarafu mpya ni chache tu ambazo ziko kwenye vikwazo vikubwa vya kiuchumi vya Marekani. Miongoni mwazo ni Urusi, Iran pamoja na North Korea ambazo zinashika hili bango la noti mpya kwa maslahi yao yanayotokana na kuwa na uhasama wa muda mrefu na Marekani.
Lakini tukijikita kwenye bigger picture, hakuna nchi yenye ushirika wa kibiashara na Marekani ambayo iko tayari kujitoa muhanga kiuchumi kwa kuachana na Dollar ili tu kuimarisha uhusiano na Urusi, Iran ama North Korea.
Kuna habari kwamba Zimbabwe na Venezuela pia zinataka kujiunga na BRICS. Matatizo ya hizo nchi ni ya kisera na siasa zao za ndani ambazo zimeharibu uchumi wa nchi lakini kwa namna fulani Mnangagwa na Maduro wanadhani wanaweza kuitumia BRICS kisiasa ili kuongeza chochote cha maana kwenye uchumi wa nchi zao.
Ni vigumu kujenga uchumi kwa mihemko na propaganda.
Itapunguza na kuwapa watu option. Lakini Euro pia Wanamtegemea sana Marekan tofauti na nchi nyingi za Bricks.💯%.
Kama Euro imeshindwa, hiyo currency ya developing [not developed] countries ndo itaweza?
Abadan asilani!
Dola inajishusha yenyewe. Mlikua mkitaka kwenda China unaenda benki Unaambiwa utapata mwisho Dola elfu 1000 ukiangalia mahitaji Yako yanazidi Dola elfu hamsini unadhani utaacha kutumia Bricks currencyHii pesa kama itapunguza makali ya bei ya mafuta duniani itakuwa Safi sana.....ila kama ipo kwaajili ya kuishusha dollar itakuwa ni UJINGA mtupu
Wabongo Kwa ujuaji hakuna binadamu anatuweza hapa duniani.Hiyo sarafu imekaa kipropaganda zaidi. Na anayefanya hiyo propaganda anafahamika.