Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Mimi sijasema uwe mentor ila tu thibitisha ulichokua unakiandika tangu mwanzo wa uzi

Karibu sana mkuu
Achana na huyo tapeli wako hapa kuchota watu.


Successful forex trader Hana muda wa kuja hapa kupost winning trades. Mara nyingi Hawa wanaopost ni mitego ya kuvuta watu Ili wakupige. Kama unabisha mfuate PM mwambie akufundishe utaona blablabla zake.


Forex is real ila Kuna traders wengi ni matapeli.



Watch out!
 
Punguza ujuhaji basi ndugu,yoyote niliye jibu message yake pm inayohusisha forex ,ajitokeze .....nilishasema sifundi mtu.
Nina kipato na mm ni mfanya kazi na huo muda sina wa kufundisha
Sijahawi changia kwenye nyuzi yoyote ya forex hiv unazani sizioni,sijawahi discuss na mtu kuhusu forex.
Mm nimeonesha mtazamo wangu na kushare expirence na hustle zangu na kutoa angalizo sifundishi mtu,
Sasa kinachokukela na kukuwasha ni nini?
Nimekufata dm, mbona it's like something personal
 
En hyo time ya kufundisha mtu nikiitumia kwenye chat, 🤓🤓 dolari za kutosha, yan kila mtu na vile alivyo chagua mm forex ni back up na ni muudumu wa afya .
Kama unatatizo kuhusu afya uliza , sawa na niliweka bayana kazi yangu mapema
 
Wakuu mbona spread ni kubwa sana kwa huyu JustMarkets? Wenzangu mnaonaje hizi spreads
 
Ina maana broker ni kiunganishi Kati ya retails and market pool, kutokana na uchache au udogo wa mitaji ni ngumu kuwa na accent kwny market pools,labda wale big boys,institutions,company and countries na ukubwa wa mitaji yao wao ndo wanadrive soko.
Believe my words market pools inawatengenezea mazingira rahisi sana kuwa katika winning side.
So most of retails ndo wanaopoteza pesa
 
Wakuu mbona spread ni kubwa sana kwa huyu JustMarkets? Wenzangu mnaonaje hizi spreads
Trade broker anayekupa amani Mkuu.
Mimi namtumia huyu Mwamba Kwa mm naona ananifaa,tafuta ambaye unahisi anakufaa.
Kutokana na trading style yako,accessibility na namna ww ambavyo upo
 

NOP: retails hawatrade forex market, wana BET forex market, forex market ni complicated to explain to you, na pia forex market sio kwa ajili ya kujipatia faida ni brokers wanaaminisha watu uongo

soma apa itakusaidia kuelewa what goes behind

pia kama una chatgpt ina maelezo mazuri sana unaweza yatumia
 

forex market sio kwa ajili ya kujipatia utajiri, malengo yake ni tafauti na nyie mnachofanya
 

Sipingi mtazamo wako,either your (begginer/ lack information/secondary information)
Unaelewa ninapokwambia market pool.
Market pool siyo kwa ajiri ya retails ,markets pool inawatambua Hedge funds,institutions,investors,stakeholders,banks, transfer agent(brokers) ets so retails wako under mwavuli........anyway go and find knowledge. How global market work and not foreign exhange
 

kwahio mm, google na chatgpt hatuna akili wewe ndo mwenye akili? ulikurupuka sana kuingia forex market things dont go that way
 
Do what you see it's best for you.Mimi ni Kwa ajiri🥳🥳

some humans have fed you amaizing lies, na ulivo mvivu wa kusoma na wewe ukajaa, nenda tena kasome forex market ni nn and how it works and why its even there in the first place, na utafute watu wanaojielewa sio wanaouza signal na courses
 
acha mdomo mwingi, ebu soma apa uache bla bla
 


punguza ujuaji
 
ELEWA KWANZA APA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…