Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Achana na huyo tapeli wako hapa kuchota watu.Mimi sijasema uwe mentor ila tu thibitisha ulichokua unakiandika tangu mwanzo wa uzi
Karibu sana mkuu
Successful forex trader Hana muda wa kuja hapa kupost winning trades. Mara nyingi Hawa wanaopost ni mitego ya kuvuta watu Ili wakupige. Kama unabisha mfuate PM mwambie akufundishe utaona blablabla zake.
Forex is real ila Kuna traders wengi ni matapeli.
Watch out!