Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

Jaman msiache mbona ni tamu Sana hela ya fx yaan mim nainjoy nafanya Kama kazi zingine usiwaze kutajirikia ije automatic hata ukikunja $20 kwa siku it worth it
You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.
 
Nakyaminia mkuu.
Tumeanza mbali pamoja.
Ni miaka mingi sasa, chapa kazi
 
Kwanini uliamua kujiita Labia Majora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Huyo hana miaka sita kama anavyodai kinachowaponza watu ni tamaaa na ukiwa na tamaa utafanikiwi hta kidgo ukiona mambo magumu chukuwa likizo kusubiri mshahara ni jambo gumu... pia ili usiwe na presha angalau uwe na chanzo kingine cha mapato then utaenda mdogo mdgo mpka utakapo kuwa strong....

Karibu ktk ulimwengu wa kujikataa na kujikana vaa tabia soko inazoitaji
Enjoy your ustaafu
 
FX is not for everyone.. Imekukataa basi piga chini mze... Alafu nimegundua kitu, profitable trader's hawanaga makelele, wanapiga izo equit balaa, ila sisi losser's sasa, yan sisi ndo walimu, sisi ndo mentors, sisi ndo market makers yan ni shida tupu... Boresha strategy yako tuu, wewe unapoteza mbona wenzenu wanapata. [emoji409][emoji410]
 
You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.
Watu wanaamka alfajiri na mapema kusaka malipo ya 10$ dollars per day na wamechomekea ma suti safi na huko ofisini full majungu na uchawi tu..
in my perspective its better to learn the game and master it.. ukiweza kuwa consinstent with 20$ a day kwa mwaka naamini utakuwa na uwezo wa kukua zaidi siku za mbele..
Tatizo mitaji tu na tamaa za wabongo ndo zinatufelisha yani serous eti mtu unataka kunake life in forex af mtaji wa kujifunzia umeweka dollar 6
 
nilianza mwaka jana mwezi wa kumi nilianza kutrade na usd 6 sasa nipo na usd300 ukijumlisha na ambazo nimetoa kama usd 100 hivi
Sasa mkuu huoni kuwa hyo biashara bila kuwa na mtaji mkubwa unafeli? Umesema umeanza mwaka Jana mwishoni had saiv ushatoa Dola 100 tu, biashara gan hyo unatengeneza laki 2 Kwa miez yote hyo utakula nn? Si bora uchome hata chips mkuu , halafu ulianza na Dola 6, kwenye forex au you serious?
 
You ain't serious dude. How can you waste the whole freaking day in order to gain 20$ to lose it and more the following days. It doesn't make sense at all.
That's you bro for me it works and I am sure of collecting $$$ every 30 days am not greedy I once been there where you were. I decided to change and everything is working now am not angry with my self now...
 
Mtu anadharau hio lakin ukikusanya per week ni zaidi ya laki 2 familia Ina kula ugali maisha ya kawaida tu Kuna una ubaya gan kuli kutaka trade moja ikupe dola 20 hio ndio gambling Kama haiendani na mtaji.
 
Yap mtaji uendane na strategy pia... tamaa tu na lack of discpline ndo tatizo letu tunaingia kimhemko.. watu wapo serious na hii kitu wanaendesha maisha tu ila huwezi kuta wanapiga makelele humu about fx
 
Duh!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…