Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

Upuuzi mtupu akija na mifumo yake mipya then akisema wachezaji alio nao hawafai kwenye mifumo yake sijui itakuwaje. Mpira wa kibongo wa kipuuzi,mihemko na hisia ndio zinaongoza mpira.
Nimesema ila watu wakasema sijui kitu

Injinia anafanya kazi kwa mihemko ssna ameanza kupata kichwa
Sasa huyu kocha ataanza upya na Al hilal wanatusubiri sio muda mrefu yaani inatia mashaka sana
 
leta data zake
Sasa miaka mitatu utapata data gani mzee?

Level yake ya ukocha ni sawa tu na Bocco sema Bocco ni ubishi tu wakutaka kuendelea kucheza.

Kama Gamondi tu pamoja na nyie kumuita Master lakini kuna muda alikuwa anasaidiwa na Azizi Ki basi huyu fresher hata wewe unaweza kumshauri na kumpangia kikosi kabisa.
 
Gamondi mwenyewe anatumia huo huo
Upuuzi mtupu akija na mifumo yake mipya then akisema wachezaji alio nao hawafai kwenye mifumo yake sijui itakuwaje. Mpira wa kibongo wa kipuuzi,mihemko na hisia ndio zinaongoza mpira.
 
mbona ana cv ya memkwa,vyura watapigwa sana awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…