Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

Kwahiyo Kingwendu kakosa dili
1000277837.jpg
 
Fadlu davids

Avg. term as coach: 0.48 Years

Sead ramovic

Avg. term as coach: 3.38 Years
 
Upuuzi mtupu akija na mifumo yake mipya then akisema wachezaji alio nao hawafai kwenye mifumo yake sijui itakuwaje. Mpira wa kibongo wa kipuuzi,mihemko na hisia ndio zinaongoza mpira.
Yeah!... uswahili mwingi mno tatizo.
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Hersi aliwahi kumwambia Nabi asidhani utopolo inashinda kwa sababu yake. Nadhani Gamondi wakati anafungasha aliambiwa maneno hayo hayo.

Utopolo haishindi kwa sababu ya kocha au uwezo wa wachezaji.
 
Hapa kweli tumejikanyaga
Takwimu za Gamondi zilikuwa safi sana
Naamini atapata team haraka sana
Kwa mtiririko wa mechi za ligi kiuhalisia Gamond Alikuwa a nashuka siyo kupanda.

Kibaya zaidi alishindwa kubadili mbinu. Ni uamuzi mzuri kubadilisha kocha Kabla mambo hayajaharibika sana.

Wananchi wajifunze kuwaamini viongozi wao na muda ndiyo utaamua kama walichofanya ni sahihi au hapana.
 
Back
Top Bottom