princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Ila kwa opinion za SAKwa mtiririko wa mechi za ligi kiuhalisia Gamond Alikuwa a nashuka siyo kupanda.
Kibaya zaidi alishindwa kubadili mbinu. Ni uamuzi mzuri kubadilisha kocha Kabla mambo hayajaharibika sana.
Wananchi wajifunze kuwaamini viongozi wao na muda ndiyo utaamua kama walichofanya ni sahihi au hapana.
Wanatuambia tumelamba dume mana Ts galaxy imeuza wachezaji tegemeo kaizer na orlando kwahiyo jamaa hio kitu imemkata sana na kumshusha na alisha resign tangu last week