njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Ya mwisho kabsaUmesahau ana tokea south timu yake ikiwa nafasi ya 2 kutoka mwisho
Hapo ni kabla hujavaa miwaniView attachment 3153105
Timu aliyotoka kocha mpya wa uto ni aibu tupu Apa uto tumesajili mkulima 😂😂😂
Inamaana michakato ya kumpata kocha mpya ilianza kabla Gamondi hajatimuliwa!
Tabora United wamemponza GamondiCoaches are hired to be fired
Yeah!... uswahili mwingi mno tatizo.Upuuzi mtupu akija na mifumo yake mipya then akisema wachezaji alio nao hawafai kwenye mifumo yake sijui itakuwaje. Mpira wa kibongo wa kipuuzi,mihemko na hisia ndio zinaongoza mpira.
Mpaka wasemeeeAisee kazi ipo kwa hawa Wehu
Yangekuwa maamuzi Simba wangemchukuaHapa kweli tumejikanyaga
Takwimu za Gamondi zilikuwa safi sana
Naamini atapata team haraka sana
Mmh mnafiki wwKocha ameona video za akina Beleke na Dube amelia sana
Anasema hawa hata Bayern wanaanza na wanafunga
Kwa mtiririko wa mechi za ligi kiuhalisia Gamond Alikuwa a nashuka siyo kupanda.Hapa kweli tumejikanyaga
Takwimu za Gamondi zilikuwa safi sana
Naamini atapata team haraka sana