Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

Ila kwa opinion za SA
Wanatuambia tumelamba dume mana Ts galaxy imeuza wachezaji tegemeo kaizer na orlando kwahiyo jamaa hio kitu imemkata sana na kumshusha na alisha resign tangu last week
 
Mkuu tusibishane sana acha tutajua nani mkweli

Pep kule City mechi mfululizo 4 kapoteza ila vipi hakubadili mbinu? Uwezo umeshuka? Mbona management haijamfukuza?

Ramovic takwimu zake si afadhali hata Gamondi?

Halafu sajili msimu huu injinia kabugi sana basi tu

Nani alimtaka chama na baleke? At least Dube nitakuelewa

Na baleke mwenyewe kocha alikuwa hamtaki hata kumtumia
Nadhani kilikuwa kipindi cha kuyumba mechi kadhaa then tungerudi kwenye mfumo tena.

Uongozi ujitafakari jezi tu mpya za CAF humo wamevujisha why?
 
Mimi ni Moja ya watu ambao sikuwa namkubali sana Gamondi, kutikana na kukosa mbinu nyumbulifu, msimu huu wapinzani walishsmsoma...ila yeye hakutaka kubadilika.
 
Tatizo sio kocha ,..tatizo ni wachezaji wenyewe
 
Mmeshaanza kukataana wana Galacticos
 
7 - stop
7 - stop
7 - stop
7 - stop
8 - kwangu
8 - kwangu
J - Naomba Mavi
Last card
3 - Nimemaliza.
 
Diarra hafuati mipira ya chini huo ndio udhaifu wake na wameshamjulia tena ukipiga kushoto ndio hafuati kabisa anaiangalia tu
 
Diarra hafuati mipira ya chini huo ndio udhaifu wake na wameshamjulia tena ukipiga kushoto ndio hafuati kabisa anaiangalia tu
Hata ukipiga shuti katikati ya uwanja hadaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…