Hapa KAMATI ya usajili UMEKOSEA, dahhh hata kama wa Serbia ni wagumu lakini si kwa Ligi yetu, mazingira yetu, historia yetu na tamadhni zetu.
Hapa ni beautifully mistake.
Na juzi kafunga watamkoma.Amepeleka matatizo huko Singida Big Stars, wakae chonjo yaani..!
Kuna wachezaji wanasajiliwa wakiwa na kiwango bora kabisa, achilia mbali wengine kutoingia moja kwa moja kwenye mfumo wa Kocha, lakini hata hili nalo ni tatizoNa juzi kafunga watamkoma.
Inawezekana akawa amepewa mkataba wa miez 6Tatizo viwanja akienda kucheza mtwara au singida una mkataa hata chama akicheza tofauti na uwanja wa taifa mara nyingi hana maajabu ila huyo ni wa mda mfupi manzoki akimaliza mkataba wake kule atakuja kuungana nae.
Dejan Georgijevic...Anaungana na Mohamed Ouattara, ni pendekezo la Kocha Zaron Maki, na viongozi wamefanya kazi yao.Huyu mchezaji ni pendekezo la kocha kwaio kocha akishindwa kutimiza malengo yetu cha kujitetea hana maana tumempa kila kitu na wachezaji aliowataka tumemletea
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hiv kweli Kagere kazi nzur aliyotufanyia kwa misim minne anastahili kweli kumkejeli kwa maneno machafu namna hii??? Mkuu acha kutafuta laana aiseekama hapo simba kuna watu wanampenda wakamkinge haraka sana, yaani namuonea huruma in advance aiseee, kagere na uchawi wake alikuwa anaingia kageuza jezi wakati wa warm up, dah huyu watamfanya zezeta aisee
Manungu Complex, ikibidi atacheza kwa kuwa ni Kazi yake, kama haiwezekani kwake watacheza wengine akina Habibu Kyombo na Bocco.
Huyo ni Ali Dia mwingine,miaka 28 timu16.chaaa
[emoji23][emoji28][emoji28]MISUMALI INAMSUBIRI.
Mkuu denooJ kwakweli msimu huu, viongozi wa Simba wamejitahidi sana kwa yote, hawakufuata mihemko na mbwembwe za ajabu.Wacha aje huyu aangaliwe, akizingua Manzoki yuko kwenye line.
Wakina Okrah wataongezea magoli uwezo huo wanao, no doubt.
ataondoka nani sasa kanoute? au sababu CAF wanaruhusu wachezaji 40? wawape tu hao vipers hata dollar laki moja yaishe, aghMkuu njaakalihatari Viongozi bado wanaendelea na mazungumzo na Klabu ya Vipers
Tusubiri kuona yatakayojiri hivi soon.
nani tena si nilijua ni huyo mwaisa na yule mfupi mwenzake wa mwanza aliyewahi cheza simba, aliyeshaondokaga??Nashukuruje kaka
Ila Bado wawili ndani humo wakiondolewa mambo byeeee
nakuapia huyu kocha akifeli haswa ligi ya ndani atasingizia viwanja...ya nje atasema team aliikuta ishasajiliwa na bila shaka ni yeye kalazimisha kumleta huyu m serbia mwenzake ila kiukweli nimewaonea huruma sana sababu watalogwa haooo duhHuyu mchezaji ni pendekezo la kocha kwaio kocha akishindwa kutimiza malengo yetu cha kujitetea hana maana tumempa kila kitu na wachezaji aliowataka tumemletea
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Inawezekana hasa akitokea kwenye academy za mpiraHuyo ni Ali Dia mwingine,miaka 28 timu16.chaaa