Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Na juzi kafunga watamkoma.
Kuna wachezaji wanasajiliwa wakiwa na kiwango bora kabisa, achilia mbali wengine kutoingia moja kwa moja kwenye mfumo wa Kocha, lakini hata hili nalo ni tatizo

Ndo maana hata Simba SC tunaonya kwa vile hatuwezi kukataa kuwa haya mambo hakuna.
 
Tatizo viwanja akienda kucheza mtwara au singida una mkataa hata chama akicheza tofauti na uwanja wa taifa mara nyingi hana maajabu ila huyo ni wa mda mfupi manzoki akimaliza mkataba wake kule atakuja kuungana nae.
Inawezekana akawa amepewa mkataba wa miez 6
 
Huyu mchezaji ni pendekezo la kocha kwaio kocha akishindwa kutimiza malengo yetu cha kujitetea hana maana tumempa kila kitu na wachezaji aliowataka tumemletea

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Dejan Georgijevic...Anaungana na Mohamed Ouattara, ni pendekezo la Kocha Zaron Maki, na viongozi wamefanya kazi yao.

Simba walijifunza kwa wale Wabrazil, lakini Kocha anaridhishwa na uwezo wake.

Ngoja Tusubiri.[/b]
 
kama hapo simba kuna watu wanampenda wakamkinge haraka sana, yaani namuonea huruma in advance aiseee, kagere na uchawi wake alikuwa anaingia kageuza jezi wakati wa warm up, dah huyu watamfanya zezeta aisee
Hiv kweli Kagere kazi nzur aliyotufanyia kwa misim minne anastahili kweli kumkejeli kwa maneno machafu namna hii??? Mkuu acha kutafuta laana aisee
 
Wacha aje huyu aangaliwe, akizingua Manzoki yuko kwenye line.

Wakina Okrah wataongezea magoli uwezo huo wanao, no doubt.
 
Wacha aje huyu aangaliwe, akizingua Manzoki yuko kwenye line.

Wakina Okrah wataongezea magoli uwezo huo wanao, no doubt.
Mkuu denooJ kwakweli msimu huu, viongozi wa Simba wamejitahidi sana kwa yote, hawakufuata mihemko na mbwembwe za ajabu.

Manzoki tunamtaka aje huenda asiperformance kama tunavyotaka, kwa vile suala la usajili hata Ulaya ni majaribu sana, lakini kuna asilimia chache sana kumkosa Lobi Manzoki, kwani wapo kwenye mazungumzo na yanaenda vizuri na Vipers.
 
Nashukuruje kaka

Ila Bado wawili ndani humo wakiondolewa mambo byeeee
nani tena si nilijua ni huyo mwaisa na yule mfupi mwenzake wa mwanza aliyewahi cheza simba, aliyeshaondokaga??
wachawi hawaishagi naskia hata metacha ilkuwa balaa, hata sisi simba wako tuna wa zoom tu wakipewa naafasi wanafanya madudu tu
 
Huyu mchezaji ni pendekezo la kocha kwaio kocha akishindwa kutimiza malengo yetu cha kujitetea hana maana tumempa kila kitu na wachezaji aliowataka tumemletea

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
nakuapia huyu kocha akifeli haswa ligi ya ndani atasingizia viwanja...ya nje atasema team aliikuta ishasajiliwa na bila shaka ni yeye kalazimisha kumleta huyu m serbia mwenzake ila kiukweli nimewaonea huruma sana sababu watalogwa haooo duh
 
Back
Top Bottom