Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Rasmi: Simba SC yamtambulisha Mshambuliaji hatari raia wa Serbia

Makolo mnaongoza kifikia makubaliano maalum mpaka kwa makocha
Kuna kocha anaitwa Eymael sijui.. aliwatukana tusi moja hivi watu wakasema ni tusi la kibaguzi ila ukikaa ukifikiria vizuri kwanini alitamka yale maneno unaona kabisa kwa 90% Yale maneno yana ukweli mtupu juu ya washabiki wengi wa Yanga..

Ukikaa pia ukifikiria juu ya maneno ya Manara ambae sasa anachukuliwa kama mfalme, kwamba wenye akili yanga ni Baba yake na Mzee kikwete, unapata jibu kabisa kwamba ni ukweli
 
Makolo mnaongoza kifikia makubaliano maalum mpaka kwa makocha
Utopolo kuna misimu miwili walifikia makubaliano maalumu wa wachezaji takriban 30 wastani kila mwaka wachezaji 12 na kuna Karne ilifukuzwa kikosi choote wakaanza upya.

Uliza uambiwe.
 
Baada ya miezi kadhaa utasikia Makolo wamefikia makubaliano ya kila upande kisha huyu mchezaji anaagwa na kutakiwa kila lakheri aendapo
Ukuona hivyo ujue anakuja aliye bora zaidi
 
Kweli mbuzi sio mpaka ziwe na mapembe kuna binadamu ambao ni zaidi ya mbuzi eti,,,Kama ujui alichokiongea uwalaumu wazazi wako walioshindwa kukupeleka shule tahaira wewe
Ujui [emoji777] = Hujui
Mbuzi ziwe [emoji777]= mbuzi wawe

Sasa sijui hapo mbuzi ni yupi Kati yako na huyo unaesema ni mbuzi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo viwanja akienda kucheza mtwara au singida una mkataa hata chama akicheza tofauti na uwanja wa taifa mara nyingi hana maajabu ila huyo ni wa mda mfupi manzoki akimaliza mkataba wake kule atakuja kuungana nae.
Hapo sawa, wacha tusubiri kuona.
 
Umeona sasa, na ni 1 ya sababu zangu. League hii race nyeupe kwao ni mlima. Wao wamezoea soka la kitabuni, huku sisi ni mkuku mkuku. Daaah.
Hivi Dilunga ni mzungu, Lwanga, Mugalu, Dube ambao shida kubwa ni majeruhi ni wazungu?
 
Back
Top Bottom