Labda tungeanzia hapa kwanza, scouting team kwa hizo timu mbili ni zipi, kina nani?Kwa mpira wa Africa, kikubwa ni kuwepo kwa team nzuri ya scouting basi, kocha atawakuta wachezaji na atawaacha.
Mashabiki wengi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe,ulaya na Africa kuna utofauti mkubwa sana.Makocha wengi kule wanafatilia ligi za huko wanawajua wachezaji wengi,kuna scouting za wachezaji na ni rahisi kulingana na mifumo waliyojiwekea.Hawa waliochukua ubingwa msimu huu hapo Yanga, Nabi aliwakuta? Unajua kuna vitu vingine maongea tu kama mmekatwa vichwa[emoji23]...
Mbona kocha wetu anarukaruka sana hajatulia muda mrefu na timu.Ni kocha mwenye falsafa ya kujilinda zaidi huku akipendelea mfumo wa 4-3-3View attachment 2275861
Nani anasajili wachezaji?
Kama mchezo utakuwa ni huo huo, unganisha wachezaji uliowakuta/waliosajiliwa, hakuna maajabu ya kutegemewa kwa kocha awaye yeyote.
Wenzao kwasasa wanatembelea UTAWALA WA NCHI, mpira hakuna ila fedha ya kununua matokeo na ubavu wa kulazimisha mambo yawe watakavyo. Ngoja tuone kama hii mbinu itatusaidia na huko mataifani.
Hana tofauti na kocha MMADRADA aliyetimuliwa.Chuma iki hapa sasa.
Kama Mmadrada alivyokuwa anampigia simu Zidane wakati match inaendelea.nasikia sio mpaka aje uwanjani anaweza kutumia mpaka video call kufundishia timu ana uwezo wa kupanga kikosi bila kipa na akashinda[emoji3][emoji3]
Shida sio ahule wala nini kama umma unavyoaminishwa. Ukweli ni kwamba hao warundi ni mambo ya ten percent tuu hamna chingine.Binafsi makocha wazawa waache uswahili leo nchi kama Burund na Rwanda kwel wa kutupatia makocha ??? sitaki kabisa kuamini Makocha wazawa wajitafakari na sijui shida ipo wap shule au nini hasa ??
Ebu waulize , baada ya mwinyi zahera kupewa mamlaka ya kusajili Yanga aliwasajili akina nani kama siyo akina Kindoki , moringa na wengineo wa dizaini hiyo.Mashabiki wengi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe,ulaya na Africa kuna utofauti mkubwa sana.Makocha wengi kule wanafatilia ligi za huko wanawajua wachezaji wengi,kuna scouting za wachezaji na ni rahisi kulingana na mifumo waliyojiwekea.
Leo hii ni rahisi Mourinho,guadiora au ancelloti wakipewa timu na pesa za usajili ni rahisi kwao.Ila huku Africa makocha wengi ni mawakala wa wachezaji hivyo ukiwapa power kubwa ya kusajili utaingia cha kike bado mpira wa kiafrika hatujafika levo hizo.
Mfano mwinyi zahera aliwahi kuleta wachezaji wake wakina kindoki pale,ni vile kwasababu timu haikua na pesa na mwinyi zahera alisaidia hata pesa zake mfukoni mambo yaende nani angemuhoji kuhusu wachezaji wake wengi waliokua wa kawaida?.Ni mara chache kwa Africa kocha kuwa na power ya kusajili
miaka 4 team sita mh! kuna shida sehemu acha tuoneNi kocha mwenye falsafa ya kujilinda zaidi huku akipendelea mfumo wa 4-3-3View attachment 2275861
Huyu alitulia lini na team? Ni hapa kwetu tu kwenyee ligi mlenda ndo ataweza kukaa miaka miwili.Mbona kocha wetu anarukaruka sana hajatulia muda mrefu na timu.