Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Vipi huyu?miaka 4 team sita mh! kuna shida sehemu acha tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huyu?miaka 4 team sita mh! kuna shida sehemu acha tuone
mkuu , Kubishana na utopolo ni matumizi mabaya ya mdomo .Vipi huyu?View attachment 2275939
Ishu ni quality ya kocha bwana, hawa wanaokuwa mawakala wa ni makocha waganga njaa tuu. Wee kocha wa wydad bomus ya kushinda champions league anakula $200k unadhani huyo ataleta ujinga kwenye kusajiri wachezaji?Mashabiki wengi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe,ulaya na Africa kuna utofauti mkubwa sana.Makocha wengi kule wanafatilia ligi za huko wanawajua wachezaji wengi,kuna scouting za wachezaji na ni rahisi kulingana na mifumo waliyojiwekea....
kwahio mmeiga ?Vipi huyu?View attachment 2275939
yule Mmadrid alikua anashambulia kama nyuki huyu vipi kama nzi?mkuu , Kubishana na utopolo ni matumizi mabaya ya mdomo .
Ni mwanamke siyo mwanaume huyoHuwa una maneno ya kike sana we jamaa.[emoji1]
Mwambie asije na mke.View attachment 2275574
Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno.
Tusubiri hapa mbivu na mbichi
===
Confirmed
Zoran ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁
Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic (@zoran_manojlovic_maki) kuwa Kocha Mkuu wa timu yetu. Kujua zaidi kuhusu mafanikio yake kwenye soka la Afrika.
View attachment 2275860
Angalia kama Pitso ,Al Ahly alikula mpunga mrefu na wachezaji wa quality ya juu ataachaje kombeIshu ni quality ya kocha bwana, hawa wanaokuwa mawakla wa ni makocha waganga njaa tuu. Wee kocha wa wydad bomus ya kushinda champions league anakula $200k unadhani huyo ataleta ujinga kwenye kusajiri wachezaji?
Watu wenye kupenda kazi zao na kithamini kazi zao hawawezi leta uninga wa papa zahera..
Ili akuoe wewe au?Mwambie asije na mke.
Mkuu NABI amebeba kombe la SHIRIKISHO Afrika mwaka 2012 ujue.Huyu alitulia lini na team? Ni hapa kwetu tu kwenyee ligi mlenda ndo ataweza kukaa miaka miwili.View attachment 2275938
Kabisa kaka. Nakula zangu million 300 kwa mwezi siwezi leta ujinga kwenye usajili. Naleta vifaa vya ukweli ili niendelee kula maisha.Angalia kama Pitso ,Al Ahly alikula mpunga mrefu na wachezaji wa quality ya juu ataachaje kombe
Nimeipenda hiyo na naikubali kuwa ni jibu la ufanano kwa mtizamo wangu☝️😂Huyu alitulia lini na team? Ni hapa kwetu tu kwenyee ligi mlenda ndo ataweza kukaa miaka miwili.View attachment 2275938
Nabi amewahi kubeba Ndoo ya Shirikisho Afrika 2012 akiwa AC LEOPARD ya CONGONimeipenda hiyo na naikubali kuwa ni jibu la ufanano kwa mtizamo wangu[emoji3516][emoji23]