Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
HaijalishiNabi amewahi kubeba Ndoo ya Shirikisho Afrika 2012 akiwa AC LEOPARD ya CONGO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaijalishiNabi amewahi kubeba Ndoo ya Shirikisho Afrika 2012 akiwa AC LEOPARD ya CONGO
Unasema??Nabi amewahi kubeba Ndoo ya Shirikisho Afrika 2012 akiwa AC LEOPARD ya CONGO
We jitoe ufahamu tu, huwezi kuwa sawa kiakili afu ukamlinganisha NABI na huyo kocha mpya wa Simba.Haijalishi
acheni maisha ya kukariri, kocha mzuri akikuta wachezaji wazuri hata katikati ya msimu, timu itakiwasha tu. Kocha atoke Ulaya atawaona wapi wachezaji wa kitanzania ambao kikanuni wanatakiwa kuwazaidi ya 60% ya kikosi? Nabi alipokuja aliwaona wapi akina Nchimbi hadi apendekeze waachwe?Nani anasajili wachezaji?
Kama mchezo utakuwa ni huo huo, unganisha wachezaji uliowakuta/waliosajiliwa, hakuna maajabu ya kutegemewa kwa kocha awaye yeyote.
Kwa hiyo tunahesabu ni ndoo ya Yanga piaNabi amewahi kubeba Ndoo ya Shirikisho Afrika 2012 akiwa AC LEOPARD ya CONGO
Ikiwa Yanga walifanya kosa la kuwa na kocha ambaye hakuwa sehemu ya usajili haiwezi kuhalalisha kwa simba kufanya hivyo, duniani kote hasa soka liliko endelea na ndiko tonakotaka kwenda, kocha ni sehemu ya scouting.Hawa waliochukua ubingwa msimu huu hapo Yanga, Nabi aliwakuta? Unajua kuna vitu vingine maongea tu kama mmekatwa vichwa[emoji23].
Mazingira ya yetu Africa ni magumu sana kufanyika huo utaratibu mnaoutaka, kocha atoke BELGIUM, SPAIN AU taifa lingine la nje kisha aje kupendekeza wachezaji wa africa ambao watafit mfumo wake ilhali hawajui hao wachezaji? Au unahisi hata huko ulaya wanafatilia soka letu la kijinga??
Let's Simba Sc ingeajiri kwanza kocha ili aje afanya mapendekeze yeye .wenyewe, angewezaje kuwapata ndani ya muda mfupi na ikiwa ligi nyingi za Africa zimeisha (angefanyaje acessment ya hao wachezaji)? ACHENI UJUAJI.
Kwa mpira wa Africa, kikubwa ni kuwepo kwa team nzuri ya scouting basi, kocha atawakuta wachezaji na atawaacha.
Ukitaka kutumia taratibu za usajili za ulaya kwa huku Africa ni lazima utafeli tu. Kwa huku africa kocha kusajili imekuwa ni kosa kubwa mara nyingi tu.Ikiwa Yanga walifanya kosa la kuwa na kocha ambaye hakuwa sehemu ya usajili haiwezi kuhalalisha kwa simba kufanya hivyo, duniani kote hasa soka liliko endelea na ndiko tonakotaka kwenda, kocha ni sehemu ya scouting...
Ni kigezo kipo kilichokufanya useme kuwa mtu mwenye akili hawezi kumfananisha Nabi ma huyo kocha mpya wa Simba Sc, ni huu ubingwa aliochukua sasa hivi, CV yake alikowahi kupita au mafanikio yake kabla hajaja Yanga??We jitoe ufahamu tu, huwezi kuwa sawa kiakili afu ukamlinganisha NABI na huyo kocha mpya wa Simba...
katika cv ,100 ziizotumwa huyu ndo ameonekana ana cv nzuri?
Sizani kama wanaangalia cv tu ,na unafuu pia wa upatikanaji kuanzia mshahara na mengine ,katika cv ,100 ziizotumwa huyu ndo ameonekana ana cv nzuri?
Sawaacheni maisha ya kukariri, kocha mzuri akikuta wachezaji wazuri hata katikati ya msimu, timu itakiwasha tu. Kocha atoke Ulaya atawaona wapi wachezaji wa kitanzania ambao kikanuni wanatakiwa kuwazaidi ya 60% ya kikosi? Nabi alipokuja aliwaona wapi akina Nchimbi hadi apendekeze waachwe?
🤣Wewe ni mpuuzi na unatakiwa upuuzwe
Walisemaga " zitapigwa tiktaka kwa mkapa mpaka mtaomba poo"....mwisho ake sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2275574
Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno...
NakubaliMwambie asije na nguo nyingi