Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

Alikua kocha wa Dunia au wa kata?
1661763613266.jpg
 
Ajabu nini al ahly wamemtimua kocha wao kwa kudumu naye kwa miezi miwili tu basi club zenye malengo makubwa huwa hazidumu na makocha that's football.
 
Kudadadeq.. Huyu coach hata 3 months hajafikisha ashaliwa kichwa..
Mrudisheni tu Uchebe nyie Makolo
 
kauli ya tumefikia makubaliano ya pande zote mbili imekaa kinafiki sana

Nenda mwanakwenda
 
Ndo Kusemaaa ... Hamtaki au..! Basi Wale Wawili Wenye Akili Wamekubali..!
 
Back
Top Bottom