Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

Mashabiki wengi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe,ulaya na Africa kuna utofauti mkubwa sana.Makocha wengi kule wanafatilia ligi za huko wanawajua wachezaji wengi,kuna scouting za wachezaji na ni rahisi kulingana na mifumo waliyojiwekea....
Ishu ni quality ya kocha bwana, hawa wanaokuwa mawakala wa ni makocha waganga njaa tuu. Wee kocha wa wydad bomus ya kushinda champions league anakula $200k unadhani huyo ataleta ujinga kwenye kusajiri wachezaji?

Watu wenye kupenda kazi zao na kithamini kazi zao hawawezi leta uninga wa papa zahera..
 
Super Coach......Huyu kocha huwa anapenda kutumia formation ya bila Goalkeeper: 2-3-3-3

Simba watachukua CAFCL
 
Nawasalimu Kwa jina la Young Africans."

"Ndugu zangu huyu mmempima Sukari yake? Presha je? Mchekini na Kifaduro pia, huku kuna kina Mayele nyie."

"Mmemtoa Kijana Mmadrada,,Sasa mmeleta Mtu ana miaka milioni,,Mnawatafuta muhali kina Key na Ben, mimi nawaasa tu."

"Akifika October mtanistua."
 
Mwambie asije na mke.
 
Angalia kama Pitso ,Al Ahly alikula mpunga mrefu na wachezaji wa quality ya juu ataachaje kombe
 
Angalia kama Pitso ,Al Ahly alikula mpunga mrefu na wachezaji wa quality ya juu ataachaje kombe
Kabisa kaka. Nakula zangu million 300 kwa mwezi siwezi leta ujinga kwenye usajili. Naleta vifaa vya ukweli ili niendelee kula maisha.

Huku kocha anakopwa sasa kwa nini asijiongeze na yeye alete wachezaji ambao anajua watamkatia kipande cha mshahara wao kila mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…