Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Hakuna chama hapo Mkuu, sasa rasmi chadema imegeuka kikundi cha waropokaji.CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Mwenyekiti wa wenyevitiTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Pole mkuu. Alikufanyaje?. Ikiwezekana nasi tumwepuke.TAL ana roho mbaya sana
Ataenda na cheki za hela za kuingiza kwenye akaunti za chama au ataingia au ataenda tu ofisini kwa mikogo kama mtalii.tuTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Kikosi cha waganga kutoka Singida kimechukua siku nyingi kusafisha ofisiTaarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Aende na pesaHana baya.. ngoja tusubiri atasema nini
Pesa ya kuchangia chama ndio inasafisha ofisi sio waganga wa kienyeji wanaomumwagia majiKikosi cha waganga kutoka Singida kimechukua siku nyingi kusafisha ofisi
Ccm wana roho nzuri sanaTAL ana roho mbaya sana
Wewe ndio ulimtumia?Daah dokta slaa anateketea baada ya kutumika!
Chama ni taasisi inatakiwa kujiendesha sio kumuangukia mtu, TAL anakwenda kufanya kaziAende na pesa
Ofisi ya makao makuu Chadema sio kioo cha kuuza sura kama ubeligiji
Mbowe alikuwa akiingia ofisini haendi kuuza sura au kuchonga mdomo tu anaenda na pesa
Aliacha noti za kuchangia chama kwa ajili ya uendeshaji na malipo ya Wafanyakazi
Wafanyakazi pale hawahitaji hotuba wanataka kulipwa mishahara yao nk
Wamekabidhiana kimya kimya au Mangi amegoma kukabidhi?Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
View attachment 3216439
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Kufanya kazi ya kuhutubia na kuuza sura bila hela mkononi kusema yeye kama yeye kama mwanachama na kiongozi anachangia shilingi ngapiChama ni taasisi inatakiwa kujiendesha sio kumuangukia mtu, TAL anakwenda kufanya kazi
Anayekabidhi ni katibu mkuu na baraza la wadhaminiWamekabidhiana kimya kimya au au Mangi amegoma kukabidhi?
Kama aliweza Mtelekeza mkewe aliemfuta mpaka mavi kitandani atakua Slaa?Daah dokta slaa anateketea baada ya kutumika!
CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.
Kwani kwa kadiri ya ujinga wako neno "kuropoka" kwako lina maana gani...?Hakuna chama hapo Mkuu, sasa rasmi chadema imegeuka kikundi cha waropokaji.
Ndio kwanza kesho anakabidhiwa ofisi ulitaka afanya kitu gani wakati ofisi bado hajakabidhiwa? unaandika vitu havina hata maana kwasababu Lissu ana anza kazi keshoKufanya kazi ya kuhutubia na kuuza sura bila hela mkononi kusema yeye kama yeye kama mwanachama na kiongozi anachangia shilingi ngapi
Pesa nyingi ya kihadhi ya Mwenyekiti kama Mbowe alivyokuwa akichangia mamilioni live
Lisu mwambieni kesho hatuhitaji hotuba aseme tu anachangia Chadema shilingi ngapi?