Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Hakuna chama hapo Mkuu, sasa rasmi chadema imegeuka kikundi cha waropokaji.CHADEMA wenyewe kwa wenyewe mnataka kutoana macho na roho, mnagombaniana madaraka kama vita, yaani Tundu Lissu ana walinzi kama yuko Sudan au Somalia, kisa mnashindwa kuaminiana.. Hivi tunajiuliza CHADEMA mkipewa nchi si mtauza kila kitu, tamaa yenu ni mbaya sana, ulafi wa ajabu, huko kanda ya Nyasa tuliona uchaguzi wa aibu kabisa. CHADEMA mmeprove failure kabisa.