Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu πŸ˜….

Mungu fundi nyie!
 
Huo upumbavu wako ni wa mamako au babako? Deni liko pale pale, msimamizi wa mirathi atafuatilia na lazima Musiba alipe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…