Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Anamshukuru Mch. Mashimo
IMG-20230512-WA0006.jpg
 
Hakika mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamliwa na Mungu [emoji28].

Mungu fundi nyie!
Tofautisha ugomvi na deni. Deni lipo palepale
 
Hakika mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamliwa na Mungu 😅.

Mungu fundi nyie!
Ha ha haaaa
 
Hakika mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyamaliza kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli ulimalizwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umemalizwa na Mungu 😅.

Mungu fundi nyie!
Kwanza mimi naamini ugomvi huu umeingiliwa mkono wa serikali na kuamuliwa Membe aende zake.
Ama kwa maneno yakp ya paragrafu ya pili, tukumbuke tu bado Musiba ana deni na Membe na kama yalivyo madeni yote ambayo marehemu yeyote yule anayoyawaacha nyuma huchukuliwa na familia ya wafiwa basi Musiba akumbuke tu anatakiwa ailipe familia ya Membe. Nina hakika sana kuwa familia ya Membe itahakikisha wanapata mirathi yao kutoka kwa Musiba.
 
Back
Top Bottom