Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 158
- 267
Hakika mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamliwa na Mungu [emoji28].
Mungu fundi nyie!
Unajua tofauti ya ugomvi na deni? Lile ni deni na had amekufa hajasema amesaheme deni hivyo bado famili watalipwa tu labda wao ndo wasamehe,lkn pia msamaha wa madeni hauwez kuamuliwa na Mungu ni minor sana kumdai mtu deni sio dhambi ni haki? Wakrsto wanaamini Yesu alikuja kulipa deni kwa kufa msalabani unazan Mungu akua na njia nyingine had mwanae alipe deni la dhambi kwa kifo??