cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mlongo familia itaogopaaa, mganga wa Musiba ni mkaliii sio kwa haraka hii, yaan chapu kwa fastaa.Inategemea na mioyo yao. Mungu awafanyie wepesi.
Asubuhi tyuuh watu wanaweka turubai. Mweeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlongo familia itaogopaaa, mganga wa Musiba ni mkaliii sio kwa haraka hii, yaan chapu kwa fastaa.Inategemea na mioyo yao. Mungu awafanyie wepesi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna unawaogopeshaaa sasaUkute musiba Yuko zake Ukara amejichimbia kwa bibi yake anasema "hatujamaliza, hatujamalizaa......" Anaandaa kombora jingine.
Itakua vurugu match humu ndaniii.Sipati picha siku mzee wa "Wema hawafi" au Vasco Da Gama mwenyewe (mhandisi wa mipango yote) wakikata moto itakuwaje mitandaoni humu.
Watanzania tumekuwa watu wa hovyo sana. Hata sijui tumefikaje hapa.
RIP Membe jasusi bobevu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye Mungu kasitisha mabilionii
Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅.
Mungu fundi nyie!
Mchezo qushney[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu ukicomment wanasema we ni new member in Jm so tunyamaze et twafurahia kifo cha mtu kufa ni kufa tu si ndiyoIla kuna watu walifurahi kifo cha Magufuli, Leo wanakemea furaha kutokana na kifo cha jasusi MBOBEZI
Wazuri awafi
Kwishaaa kabisaaaaMchezo qushney
Siku hiyo kama tutakuwa hai tutacomment kifupi fupi "wema hawafi"Msamehe tu huko aliko.
Binadamu tuna tabia ya kujisahau tukiwa wazima na akaunti za benki zikiwa na afya.
Imagine siku mzee wa "Wema Hawafi" atakapokata moto. Watu si watashangilia kabisa?
Tuchunge ndizi zetu na kusameheana!
Ugomvi umeshaamuliwa. TuliaHili ni pigo kwa Musiba maana sasa warithi watakazia hukumu
Siku hiyo kama tutakuwa hai tutacomment kifupi fupi "wema hawafi"