Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Tofautisha ugomvi na deni. Deni lipo palepale
 
Ha ha haaaa
 
Kwanza mimi naamini ugomvi huu umeingiliwa mkono wa serikali na kuamuliwa Membe aende zake.
Ama kwa maneno yakp ya paragrafu ya pili, tukumbuke tu bado Musiba ana deni na Membe na kama yalivyo madeni yote ambayo marehemu yeyote yule anayoyawaacha nyuma huchukuliwa na familia ya wafiwa basi Musiba akumbuke tu anatakiwa ailipe familia ya Membe. Nina hakika sana kuwa familia ya Membe itahakikisha wanapata mirathi yao kutoka kwa Musiba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…