Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Unajua tofauti ya ugomvi na deni? Lile ni deni na had amekufa hajasema amesaheme deni hivyo bado famili watalipwa tu labda wao ndo wasamehe,lkn pia msamaha wa madeni hauwez kuamuliwa na Mungu ni minor sana kumdai mtu deni sio dhambi ni haki? Wakrsto wanaamini Yesu alikuja kulipa deni kwa kufa msalabani unazan Mungu akua na njia nyingine had mwanae alipe deni la dhambi kwa kifo??
 
Umeamuliwa....
 
Wadanganye , pukutisha wote anayetia maguu
 
Unajua tofauti ya ugomvi na deni? Lile ni deni na had amekufa hajasema amesaheme deni hivyo bado famili watalipwa tu labda wao ndo wasamehe,lkn pia msamaha wa madeni hauwez kuamuliwa na Mungu ni minor sana kumdai mtu deni sio dhambi ni haki? Wakrsto wanaamini Yesu alikuja kulipa deni kwa kufa msalabani unazan Mungu akua na njia nyingine had mwanae alipe deni la dhambi kwa kifo??
 
Ugomvi uliamuliwa mahakamani siku nyingi mengine ni utekelezaji tuu.
 
Hukumu iko pale pale,

Dalali atafanyakazi yake ya kupiga mnada na msimamizi wa marehemu atapatiwa kitita chake kwaniaba ya marahemu.
 
Mahakama inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…