Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Ukute musiba Yuko zake Ukara amejichimbia kwa bibi yake anasema "hatujamaliza, hatujamalizaa......" Anaandaa kombora jingine.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwamba Musiba amechomoka ndio halipi tena hizo pesa za kumchafua?
 
 

Attachments

  • 08FB8B2A-7E9E-400D-BF7F-DFB4A1622EC5.jpeg
    65.3 KB · Views: 1
Hii ni hatari sana kwa mdaiwa, maana matumaini yalikuwepo marehemu angesamehe, sasa hayupo maana amri ya mahakama iko pale.
Mleta uzi ana uelewa mdogo tumvumilieni. Hajajua kama sahivi ndio pabaya sana maana tutasema Marehemu angekuwepo angehitaji fidia yake.

Na sharti haki ya Marehemu iwe kama vile yeye mwenyewe angependa. Na wote tunaujua uliokuwa msimamo wa Bernard, pagumu hapo.
 
Isije kuwa aliye daiwa kalazimisha uamuziπŸ€”
 
Hizo bilioni 9 wapewe familia ya Membe.
 
Ugonvi wa jpm na membe uliamuliwa na Mungu, huyu huyu Mungu kamuita membe aamuwe ugonvi wao live kila mtu akiwa mbele yake dah membe kauli yako iliniumiza as if una bima ya maisha

Msamehe tu huko aliko.

Binadamu tuna tabia ya kujisahau tukiwa wazima na akaunti za benki zikiwa na afya.

Imagine siku mzee wa "Wema Hawafi" atakapokata moto. Watu si watashangilia kabisa?

Tuchunge ndizi zetu na kusameheana!
 
Hili ni pigo kwa Musiba maana sasa warithi watakazia hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…