Rasmi wanajeshi wa Israel waingia Rafah mjini kati

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira...
==================

Several Israeli tanks have reportedly reached Rafah city center on Tuesday, eyewitnesses told Reuters.

The tanks were spotted near Al-Awda mosque, a central Rafah landmark, the witnesses said.

The Israeli military did not immediately comment on this development, saying it would issue a statement about the Rafah operation later.

Poleni brazaj
 
😄 jifurahisheni tu masharti ya Israel matatu walio weka hakuna hata moja lililo fanikiwa.

1 Kukomboa Matekwa

2 Kuivunja Hamasi

3 Ku destroy tunnels

Lipi kafanikisha hapo?

Hamasi yupo, tunnels zipo, matekwa wako chini ya Hamasi.

Huko Rafah hakuna kitu ni Matent mengi tu labda wamekusudia maduka ndio Rafah city Centre 😄
 
Pale Gaza pamefanywa shamba, mateka mliwakula wote hivyo tunawatumia tu kama sababu za kuendelea kufanya usafi pale.
Wanapiga mpaka kuna muda napata ukakasi, ila kwa mlivyo aminishwa, pumba kwenye hiyo dini poleni, mtapigwa sana.
 
Hii vita basi tu Sina cha kusema

Juzi nimekaa muda mrefu sana naangalia Al Jazeera, nikapata picha ningekua Mimi napitia Hali ile

Eh Mungu tupe Amani na uondoe chuki mioyoni kwetu inayoletwa na utofauti wa dini na itikadi
 
😄 jifurahisheni tu masharti ya Israel matatu walio weka hakuna hata moja lililo fanikiwa.

1 Kukomboa Matekwa

2 Kuivunja Hamasi

3 Ku destroy tunnels

Lipi kafanikisha hapo?

Hamasi yupo, tunnels zipo, matekwa wako chini ya Hamasi.

Huko Rafah hakuna kitu ni Matent mengi tu labda wamekusudia maduka ndio Rafah city Centre 😄
Umesahau kitu kimoja Mkuu Idadi ya waliokufa ni zaidi ya 34,000!
 
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira...
==================

Several Israeli tanks have reportedly reached Rafah city center on Tuesday, eyewitnesses told Reuters.

The tanks were spotted near Al-Awda mosque, a central Rafah landmark, the witnesses said.

The Israeli military did not immediately comment on this development, saying it would issue a statement about the Rafah operation later.

Poleni brazaj
Huyu kibaka netanyahu anatapatapa tu, keshapoteza vita ,keshaingiza israel kwenye historia mbaya, huku anatafutwa akamatwe haijawahi kutokea kwenye historia ya dunia mfuasi wa marekani akaingia kwenye aibu na icj na icc only netanyahu na sasa dunia imemgeuka
Anaonekana kituko na kibaka kama kibaka mwingine tu manzese,
Imefikia hatua hadi european union inataka kumuwekea vikwazo, mungu anamuumbua na tulisema huu mgogoro unaenda kuwa mwosho mbaya kwa israel na ndio kinachotokea
 
Attachments

  • Screenshot_20240528-145903_Chrome.jpg
    Screenshot_20240528-145903_Chrome.jpg
    359.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240528-145816_Chrome.jpg
    Screenshot_20240528-145816_Chrome.jpg
    300.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240528-145720_Chrome.jpg
    Screenshot_20240528-145720_Chrome.jpg
    399.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240528-145325_Chrome.jpg
    Screenshot_20240528-145325_Chrome.jpg
    289.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240528-145255_Chrome.jpg
    Screenshot_20240528-145255_Chrome.jpg
    468.5 KB · Views: 5
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii shughuli tuwaze mengine, wawahisheni kwa mabikira...
==================

Several Israeli tanks have reportedly reached Rafah city center on Tuesday, eyewitnesses told Reuters.

The tanks were spotted near Al-Awda mosque, a central Rafah landmark, the witnesses said.

The Israeli military did not immediately comment on this development, saying it would issue a statement about the Rafah operation later.

Poleni brazaj
Walikuwa wapi kwani
 
😄 jifurahisheni tu masharti ya Israel matatu walio weka hakuna hata moja lililo fanikiwa.

1 Kukomboa Matekwa

2 Kuivunja Hamasi

3 Ku destroy tunnels

Lipi kafanikisha hapo?

Hamasi yupo, tunnels zipo, matekwa wako chini ya Hamasi.

Huko Rafah hakuna kitu ni Matent mengi tu labda wamekusudia maduka ndio Rafah city Centre 😄
Wewe kilaza Sana! Nikwambie tu politics za pale middle east huzijui na grand purpose of zionists huijui pia

Umesikia Canada wameoffer nafasi ngapi za wapelestina waende kufanya kazi kanada?

Yaani wale wataondoka wote pale middle east kwa njia za ajabu ajabu mpaka atabaki zayuni peke yake!
 
Pale Gaza pamefanywa shamba, mateka mliwakula wote hivyo tunawatumia tu kama sababu za kuendelea kufanya usafi pale.
Wanapiga mpaka kuna muda napata ukakasi, ila kwa mlivyo aminishwa, pumba kwenye hiyo dini poleni, mtapigwa sana.
We piga kelele tu sisi hatuogopi kufa tunajua wazi kila kifo kilisha pangwa na Mungu tarehe, wakati, Sehemu na sababu.

Mimi namini Israel kisha changanyikiwa hajui anafanya nini ndio mana anapiga raia.

Hamasi hawawezi wale ni wapiganaji wazuri, wanajua wapi time ya kuvamia na sa ngapi time ya kurusha Missiles.

Webaki na nyimbo zako za kila siku, Israel na America wanabembeleza huko mazungumzo ya amani na Hamasi kwa mjia ya Qatar na yule kibaraka wao SiSi.
 
Rasmi mzayuni anaenda kuchezea kfro 🤣
Mngekuwa vidume kipindi Israel anatangaza vita, mngekaa mpakani kuwazuia wasiingie Gaza na Rafah.
Wapelestina 34 wameuliwa kwenye kambi zao. Mtajilaumu kwanini mliwatuma Hamas kuivamia Israel.
Mkirusha makombora kwenda Tel Aviv, wanalipua raia kwenye kambi za wakimbizi. Mpaka maji muite mma
 
Umesahau kitu kimoja Mkuu Idadi ya waliokufa ni zaidi ya 34,000!
Mkuu nakuliza swali kufa ni amri ya Mungu au Netanyahu?

Kufa wewe unaweza kufa wakati unatype hapa, ikifika mda wakufa utakufa tu, kuna sababu tu ya kila kifo inaweza kuwa maradhi, majambazi, mnyama au hata mke wako au ndugu zako sa mambo ya kifo yasikusumbue sana.

Hamas ni wanaume wacheni mchezo America na Europe wamepeleka Silaha Israel mpa Europe wengine wameona bora tutafute amani tu wanafilisika.

Mtu mwenye akili hawezi amini kina Netanyahu wakawa vipenzi vya Mungu hata siku, unless awe kwenye akili yake kuna kadoro tu 😄
 
We piga kelele tu sisi hatuogopi kufa tunajua wazi kila kifo kilisha pangwa na Mungu tarehe, wakati, Sehemu na sababu.

Mimi namini Israel kisha changanyikiwa hajui anafanya nini ndio mana anapiga raia.

Hamasi hawawezi wale ni wapiganaji wazuri, wanajua wapi time ya kuvamia na sa ngapi time ya kurusha Missiles.

Webaki na nyimbo zako za kila siku, Israel na America wanabembeleza huko mazungumzo ya amani na Hamasi kwa mjia ya Qatar na yule kibaraka wao SiSi.
Hamas waliua wanajeshi? Thaman ya raia wa Israel ni sawa na wapalestina 100 kwahiyo idadi bado.
Mkirusha makombora Tel Aviv wao wanaua raia, wakikuta mateka wao amekufa, wanaua raia.
Msipoangalia watafeka wote wapalestina hao ndiyo wayahudi. Hawana mchezo
 
wakristo wa tanzania wanafurahia utafikiri israel baba yao chuki ya dini na uarabu, vita vipo na haviishi israel ana silaha zote palestina haruhusiwi kuwa na silaha na leo miexi 3 hamas wanawauwa askari wenye silaha baba zenu wanauwa raia barabarani mnafurahia ipo siku nanyi yatawakuta mungu atawaletea muone utamu wa vita ndugu zenu wanatakavyo uana barabarani
 
Hamas waliua wanajeshi? Thaman ya raia wa Israel ni sawa na wapalestina 100 kwahiyo idadi bado.
Mkirusha makombora Tel Aviv wao wanaua raia, wakikuta mateka wao amekufa, wanaua raia.
Msipoangalia watafeka wote wapalestina hao ndiyo wayahudi. Hawana mchezo
Nani aliye kuambia wa Palestine watakwisha? We naona unataka kuchukua majukumu ya Mungu sasa, mpa usema watakwisha.

Hakuna taifa linaweza kumalizwa kwa vita unless Mungu ndio atake?

Wa Palestine watabaki hapo na Israel watakwisha hapo huwezi kupigana na mtu ambaye haogopi kufa.

Wanajeshi wa Israel wanaogopa sana kufa mpa kwenye vi Street wanapeleka vifaru ili wajikinge 😄

We uliwahi ona jeshi imara likaingiza vifaru kwenye vi Street, huo ni ujinga wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom