Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We kilaza unafikiria wa Palestine wana akili kama zako, wakaenda Canada.Wewe kilaza Sana! Nikwambie tu politics za pale middle east huzijui na grand purpose of zionists huijui pia
Umesikia Canada wameoffer nafasi ngapi za wapelestina waende kufanya kazi kanada?
Yaani wale wataondoka wote pale middle east kwa njia za ajabu ajabu mpaka atabaki zayuni peke yake!
Tatizo lako unadhani kila mtu anaweza nunuliwa kwa pesa c wote kama wewe.