Mimi nawaonea huruma rais wa palestinian, kwa upande wa Hamas Israel lazima awakomeshe, wameua watu zaidi ya 1000 na wakateka zaidi ya watu 200 na wakaenda kujificha Gaza, na wakaapa kubwa wataliangamiza Israel, huku Iran nchi ya mbali inasema nataka kuifuta Israel kwenye thamani ya dunia, mnataka Israel ifanyeje? Israel anatafuta adui, chukulia mashambulizi ya Sept 11 kule USA unaona USA alivyovuruga nchi za Iraq, Pakstan, Afghanistan, Syria, bora hata Israel anapigana ili aweze kuishi. Kama Rusia amepiga Ukraine kwa kutaka kujiunga NATO sembuse Israel ambayo imevamiwa mchana kweupe na dunia yote ikaona na nchi za kiarabu zikaandamana kupongeza mauaji hayo halafu leo unakuja kusema Israel wanatapatapa.