figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless.
MY TAKE
Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi.
Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa kujengea nyumba unatoka Tanganyika. Kwao huko sehemu ya kuchimba mchanga ishaisha.. Soon tutaoneshana makali