Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Hizi fitina hazitakusaidia wewe Wala mwingine. Natarajia umeona kilichotokea. Ila pia hili tukio limekuja kuweka wazi uongo munaousambaza humu mitandaoni kwamba Wabara hawaajiriwi Zanzibar. Subira yavuta kheri. Sasa tumeona na Kila mtu ameona na kutambua uongo na uzushi wenu.Ila wao wamejazana huku bara !!!!!!
Changamoto wanae refa, wewe wa bara unaye ? Wanaye mwenyekiti na wanatamba nae