figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hii inakua na maana gani? Kwa hio wale waliopo kule wamezuiwa huku wanarudi na nini mitumbwi?MY TAKE
Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi
Nguvu za kupigana wanazo!?Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless.
MY TAKE
Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi
Muda wa kuishi Masaki ndio huuHii siyo nzuri kabisa
Wanzanzibar wengi wamewekeza Tanzania kuliko watanganyika walivyowekeza Zanzibar
Likitokea la kutokea watakaoumia zaid ni wanzanzibar
Kwani vinadumu basi? Sponsors nao wanakufagaIla wao wamejazana huku bara !!!!!!
Changamoto wanae refa, wewe wa bara unaye ? Wanaye mwenyekiti na wanatamba nae
Unajua hii kauli yako ni ya hatari, uchonganishi na uongo? Nikuambie tu hizo fitna hazitakusaidia wewe Wala mwingine wowote. Hili la mchanga, ikitokea ni kweli - siamini hivyo - oneshaneni tu makali. Huenda historia ya Zanzibar huielewi.Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa kujengea nyumba unatoka Tanganyika. Kwao huko sehemu ya kuchimba mchanga ishaisha.. Soon tutaoneshana makali
Kwani vinadumu basi? Sponsors nao wanakufaga